Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ongera zao hawa majirani..aisee hawa mashetani Wa bluu nawaonea uruma msimu huu

young kilimanjaro
 
Wataalam wa anga wamesema wameiona penalt ya Curtios inakatisha KIBITI ikiendelea Na safari [emoji119]

[HASHTAG]#Wachambuzi[/HASHTAG] wa super sport wapo wanabishana wanadai Courtios alifikiri mpira umerudishwa Na foward Na anakuja hivyo akaamua kubutua![emoji85]

Yule Morata naye kapiga nje hivyo FA inafikiria kumsogezea goal ili awamu nyingine aweze kushinda..
 
FA wajaribu na mfumo wa magoli kama ya ragbi ili watu kama wakina curtouis wafikiriwe nao....
[emoji276] [emoji276] [emoji276]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…