Hii kauli inaonesha either huna uhakika na ulichoongea, au unahisi woga na kibaridi kwa mbali, au vyote kwa pamoja.
Hata hivyo pole mkuu, Matic is red.
Ila matic ni engine kama Basquets Barca wako underrated siku wakitoka utaona significance yao
Wazee wa chelsea inabidi mkubali Mourinho amepiga pabaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Jina lako la utani haulijuiManfongo ni akina nani? sisi ni Mnchester United. Siwezi waongelea manfongo maana siwajui, unless ungeongekua unaongelea man united!!
We are the champions, wapinzani msitupigie kelele.
Iwe tumesajili galasa au world class player subirini msimu uanze ndo mtajua
Team ninayoona ni shida ni man city maana wanacheza kama hawachezi tena!!!! Ila manure kawaida sana wala msipigie watu kelele
sent from my jamii forums app iphone 7+
Morata na Bashuayi ndiyo watakupa ubingwa?
Liverpool mabingwa wapya EPL
Man City hamna kitu
[emoji23] [emoji23] Ugonjwa wa lukaku unawasumbua bado. League muda si mrefu inaanza watabaki anajaribiwa
Cahil hajawahi kunifanya nimuone ni beki wa kazi na mwenye umakini
mou mshenzy sana kawalambisha galasa mkaingia kichwa kichwa.....akasepa na lukaku
now matic
Viungo watakaoanza ni Bakayoko +KanteBora Fab atapata nafasi sasa
Viungo watakaoanza ni Bakayoko +Kante
Conte anatafuta kiungo mwingine,kati ya Sanches au Drinkwaterhofu yangu ni mmojawapo kati ya hao asipate injury za mda mrefu.
maana fabregas hana pace, na kukaba hawezi.
Conte anatafuta kiungo mwingine,kati ya Sanches au Drinkwater
OHH My Godmwezi wa 12 christmas ikifika ndo mda wa kuanza kumtukana huyo lukaku wenu.
huku sisi tukipata raha na morata, morata atafanya tunakaa bar na kunywa wine kwa amani.
Unamuacha Matic kwa dola 40 M tu unamchukua Drinkwater ?Conte anatafuta kiungo mwingine,kati ya Sanches au Drinkwater
Unajitoa ufahamu!!Manfongo ni akina nani? sisi ni Mnchester United. Siwezi waongelea manfongo maana siwajui, unless ungeongekua unaongelea man united!!