mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 46,969
- 58,474
Alipewa kweli.wakati wanaanza mechi.mkeka bet.Hahahahaha, we jamaa unanifurahisha muhindi hanaga masihara kabisa odds 4[emoji14]
Sure kuna sehemu walikuwa na 4,75 na next team to score wakapewa 3.6!Alipewa kweli.wakati wanaanza mechi.mkeka bet.
Siku hizi wazuri.we bayern kala 2-0.
Sisi tutatoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Morata alivyotolewa nikaacha kabisa kuangalia mpira kwa sababu nilijiunga mb zangu kwa ajili yake ulimwona wapi lukaku anatolewa anaingia mwingine..??Chelsea change 65'
Morata OUT
Boga IN
Willian OUT
Musonda Jr IN
Umeongea pumba tupuMorata alivyotolewa nikaacha kabisa kuangalia mpira kwa sababu nilijiunga mb zangu kwa ajili yake ulimwona wapi lukaku anatolewa anaingia mwingine..??
Ndo muone tofauti yake na lukaku afu mjue morata hana effect yoyote kwa team hadi anatolewa na namba tisa yake mgongoni mtajuta mwaka huu hahahaaaaaa
[emoji134] [emoji134] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwani Willian alivyotoka alikuwa hana effect? Sisi wiki ijayo tuna game ya maana. Wanapumzishwa tuMorata alivyotolewa nikaacha kabisa kuangalia mpira kwa sababu nilijiunga mb zangu kwa ajili yake ulimwona wapi lukaku anatolewa anaingia mwingine..??
Ndo muone tofauti yake na lukaku afu mjue morata hana effect yoyote kwa team hadi anatolewa na namba tisa yake mgongoni mtajuta mwaka huu hahahaaaaaa
[emoji134] [emoji134] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We hujanielewa inshu yangu hapa nipo kwa morata usinambie mambo ya wilian sijui na nani,, morata huyo si ndo mlikuwa mnampigia makelele kwamba team ikizidiwa atakuwa anaisaidia iweje leo team izidiwe ndo muwe wa kwanza kumtoa na kumweka mtu mwingine wa ziada yake inaonesha kabisa mmeanza kutokuwa na imani naye na bado hata ligue haijaanza na EPL ilivyo na mikiki mikiki mtajuta kumkosa lukaku hahhahaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]Kwani Willian alivyotoka alikuwa hana effect? Sisi wiki ijayo tuna game ya maana. Wanapumzishwa tu
Au alivyotolea Perisic alikuwa hana effect?
Ndio nakuuliza kutolewa kwa mtu mpaka awe hana effect? Mbona kama umekariri?We hujanielewa inshu yangu hapa nipo kwa morata usinambie mambo ya wilian sijui na nani,, morata huyo si ndo mlikuwa mnampigia makelele kwamba team ikizidiwa atakuwa anaisaidia iweje leo team izidiwe ndo muwe wa kwanza kumtoa na kumweka mtu mwingine wa ziada yake inaonesha kabisa mmeanza kutokuwa na imani naye na bado hata ligue haijaanza na EPL ilivyo na mikiki mikiki mtajuta kumkosa lukaku hahhahaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]
Kondogbia kapiga bonge la goli mpaka mtangazaji anasema hajawahi kuona bao la namna hiyo. Ila kipindi cha pili mmecheza vizuri sana na pia mshika kibendera kakataa goli lenu mwisho ndio mpira huo.INTERNATIONAL CHAMPIONS CUP
Chelsea 1 - 2 Inter Milan
Kondogbia (own goal) 75' - Jovetic 45 + 3' (pen),Perisic 52'
Yule jamaa sikuelewa lengo lake lilikuwa nini [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kondogbia kapiga bonge la goli mpaka mtangazaji anasema hajawahi kuona bao la namna hiyo. Ila kipindi cha pili mmecheza vizuri sana na pia mshika kibendera kakataa goli lenu mwisho ndio mpira huo.
Haya nasubiria tena mechi ijayo maana hamchoki kusema tena kwamba morata katolewa kwa sababu ligue inataka kuanza ili apumzike hahahaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndio nakuuliza kutolewa kwa mtu mpaka awe hana effect? Mbona kama umekariri?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Pole sana Mkuu.Haya nasubiria tena mechi ijayo maana hamchoki kusema tena kwamba morata katolewa kwa sababu ligue inataka kuanza ili apumzike hahahaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaa naona imani yenu kwa morata imeanza kushuka na bado[emoji23] [emoji23]Musonda na jeremia boga wanatufaa sana wamenionesha tena kitu leo
Macho yangu leo mi ni kwa morata tu nasisitiza tena kwenye hizi preseason hatofunga hata goli moja.[emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu hayo mengi labda moja huyu bench warmer atafikishaje hayo magoli mbona unampa masifa yasiyostahili kwa sasa hata goli halijui lilipo afu unampa hayo magoli kweli..???Hahahahaaaa...!!! Jamaa wewe zaidi ya pweza aisee[emoji1487], vipi na kule EPL 2017/18 atafikisha magoli matatu kweli??