Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Leta reference ya hiyo assist ya morara
Leo anajiangukia ovyo uwanjani[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmejitahidi sana Inter ni wagumu kufungika balaa yani naona defense yao nao sio ya mchezo mchezo
 
Tusubiri 2nd round tuone lazima angalau leo muwafunge hawa jamaa aisee!
 
Inter nimewaangalia wanacheza mpira wa kibarca barca ila tough zaidi, huyu perisic umri imeenda ila anahatari ndio maana man u wanamuwinda bado kwenye rada yao
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…