Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,047
- 3,980
- Thread starter
-
- #40,261
Mkuu we acha tu ingekuwa man u kacheza hivyo sijui tungejificha wapi..??[emoji3][emoji3][emoji3]Huu Uzi umestop kwa muda
Sent From My Nokia Ya Tochi
Kushiriki hata leicester city alishirikiMan city Sio team kubwa kwann inashiriki UEFA na league kuu EPL futa kauli yako mkuu
[emoji15] [emoji15] .???
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Morata anakuhusu nini match ya kwanza garasa lukaku hakufunga ila batshuay alifungaHodi humu ndani jamani morata kafunga goli ngapi vile au na leo hakucheza ...????
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Watu match ya kirafiki tu mnakamia mtafikiri mashindanoMkuu we acha tu ingekuwa man u kacheza hivyo sijui tungejificha wapi..??[emoji3][emoji3][emoji3]
Sio garasa kama lukakuNAONA MORATA ANAKIMBIA KIMBIA2..... TATIZO NN WAKUU KWAMBA KWELI TUMELAMBA GALASA KAMA WENZETU WANAVYOSEMA
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona umeanza nipe kwanza matokeo yenu[emoji134] [emoji134] [emoji15] [emoji23]Watu match ya kirafiki tu mnakamia mtafikiri mashindano
League ikianza mtaa wa 6
Mkuu hata mimi hii team yangu chelsea imeanza kunichosha bado sijaielewa na naona hivyo morata alikuwa anakimbia kimbia tu uwanjani kila akigusa mpira tu anaporwa mi naona bora costa kuliko morata ni maoni yangu tu.NAONA MORATA ANAKIMBIA KIMBIA2..... TATIZO NN WAKUU KWAMBA KWELI TUMELAMBA GALASA KAMA WENZETU WANAVYOSEMA
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekubali matokeoHaya sasa nipe matokeo ya leo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji134] [emoji134] [emoji23]
Mkuu hata mimi hii team yangu chelsea imeanza kunichosha bado sijaielewa na naona hivyo morata alikuwa anakimbia kimbia tu uwanjani kila akigusa mpira tu anaporwa mi naona bora costa kuliko morata ni maoni yangu tu.
Mkuu yani hatari tupu sijui ndio laana ya Costa imeanzaMkuu hata mimi hii team yangu chelsea imeanza kunichosha bado sijaielewa na naona hivyo morata alikuwa anakimbia kimbia tu uwanjani kila akigusa mpira tu anaporwa mi naona bora costa kuliko morata ni maoni yangu tu.
We nawe usituchafulie jukwaa letu.Mimi team yangu ni Manchester united .... To be honest bila chembe ya ushabiki wowote Nilikuwa namkubali sana Diego Costa ... Nilitamani sana aje Manchester dirisha hili sema ndio hivyo sijaona hata tetesi za kum-Link na Manchester.
Naelewa uwezo wa Morata ila sidhani kama itakuwa ni rahisi kwa yeye kuwasahaulisha mazuri ya Diego Costa .
Ajitahidi sana....
Sent From My Nokia Ya Tochi