chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,429
- 4,477
Bashuai ata take responsibility kuwa na costa ktk timu ni bora kuwa pungufu uwanjani,kama diego ni mzuri jiulize ni kwanini toka tumetangaza kumuacha hakuna timu yoyote iliyoonyesha interest kwake zaidi ya atletico ambapo nao wanasuasuaMnajidanganya tu hamna mtu kati ya hao atakayekuja kwenu mtakoma kumfukuza costa[emoji4] [emoji4]
inaonesha naye hauzwi mwaka huu tutakomaChelsea wangekufa na aubameyang tu hao wengine wanazingua
usimu undervalue bashuaiHyu conte akampgie magoti ss costa mana hakna striker tutakae msajil saiv wa maana nae atatukanaje mamba kabla hajavuka mto ilitakiwa amwambir costa kua hamhiymtaji akiwa amepata mchezaji mwngne
Daaa UEFA na striker batshuayi daaa naona conte kfukuzwa kunanukia
Discipline. . Timu nyingi zinaangalia iyo kitu. Sema bado tu costa ni striker boraBashuai ata take responsibility kuwa na costa ktk timu ni bora kuwa pungufu uwanjani,kama diego ni mzuri jiulize ni kwanini toka tumetangaza kumuacha hakuna timu yoyote iliyoonyesha interest kwake zaidi ya atletico ambapo nao wanasuasua
Mabeki tunao wengi sana alikuwa hana umuhimuCITY AGREE DANILO FEE
Sky in Italy are reporting Manchester City have reached an agreement with Real Madrid to sign Danilo.
We understand they will pay £26.5m for the defender, with potential add-ons taking the fee over £30m.
Danilo was heavily linked with Chelsea but it appears City - despite the signing of Kyle Walker from Tottenham - have won the race.
Huyu alikuwa anakuja kama Wing-back wa kulia. Kupambana na Moses kule. My guessMabeki tunao wengi sana alikuwa hana umuhimu
Rudiger
Aspilicueta
Luiz
Na wengine kibao
kwani bakayoko anacheza nafasi gani??
I BLNG 2 JESUS CHRST
Bakayoko ni kiungo mkabaji. Ila akiwa na Kante atakuwa kama Matic anaruhusiwa kuenda mbele kusaidia. Hivyo hatakuwa na jukumu kubwa la kukaba, ila Kante.Bakayoko ni kiungo wa kukaba