watu wengi humu mnajua member wote wanapatikana dar es salaam.Kwa mashabiki wa Chelsea,
Ijumaa tunatarajia kukutana pamoja pale TOMONI Victoria karibu na kona ya kwenda Mwananyamala kuanzia saa 12 jioni lengo ikiwa ni kufahamiana na kupanga pamoja kuhusu sherehe yetu tunataka iweje wakati huu ambao kuna juhudi mbalimbali zikiendelea kufanikisha hilo,kila shabiki wa Chelsea atakayefika atapata juice moja bure(Yaani ushalipiwa [emoji2]) kigezo cha kutambulika ni kuja na simu yako na kutuonesha group la Chelsea ulilopo,Kwa kuzingatia kuwa kuna wengine wana ugomvi ama hawatumii Juice [emoji134]♂ basi tumeruhusu mtu kujibebea kinywaji hasa vinywaji vikali, kutakuwa na nyama choma la kiSouth(Hii unajinunulia haijalipiwa [emoji28]) Bila shaka maelezo yamenyooka na yanaeleweka.
Mfahamishe kila mwana Chelsea kwenye groups mbalimbali.
*Imetolewa*
*Kitengo cha habari*
*Chelsea Tanzania*
Kweli kabisa. Jiorganizini mfanye kitu kizuri tutaongelea ilo pia tujue tunawasaidiajewatu wengi humu mnajua member wote wanapatikana dar es salaam.
Wengine tuko mikoani labda na sie wa mikoani tujiorganise
Huyu strike ndiye namkubali englandBREAKING NEWS
Chelsea have “serious and strong interest” in signing Manchester City striker Sergio Aguero, according to Sky sources.
Chelsea will sign a striker this summer to replace Diego Costa, who has been told he is not in Antonio Conte’s plans for next season.
ngoja nitafute members ili tufanye get togetherKweli kabisa. Jiorganizini mfanye kitu kizuri tutaongelea ilo pia tujue tunawasaidiaje
Jay
La liga usifananishe na mikiki mkiki ya premier leagerwakati mwingine ukihitaji ushindi chezesha mastrike wawili mmoja kama winger mwingine namba 9 ukienda madrid hili wamefanikiwa benzema na ronaldo wote ndani na sie tujaribu mfumo huo
Ina maana madrid hawezi chukua kombe la eplLa liga usifananishe na mikiki mkiki ya premier leager
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Formation ya conte ni ngumu mno kucheza against nayo hasa kwa mara ya kwanzaNasikia wamempiga fulham 8
Ni fulham yenyewe au ni watoto
Wiliani 3
Batshuay 2
mambo ndio haya sasa! sio unapoteza hela zako kw Lukaku ..........BREAKING NEWS
Chelsea have “serious and strong interest” in signing Manchester City striker Sergio Aguero, according to Sky sources.
Chelsea will sign a striker this summer to replace Diego Costa, who has been told he is not in Antonio Conte’s plans for next season.
Kupoteza ela kwann mliweka dau lenu kwake mkishindwa mnaanza kutapatapa.[emoji35]mambo ndio haya sasa! sio unapoteza hela zako kw Lukaku ..........
Mule muleee, big up content, hv hii habari ina ukweli? ?tungempata huyu jamaa ingekuwa bora sana sanaBREAKING NEWS
Chelsea have “serious and strong interest” in signing Manchester City striker Sergio Aguero, according to Sky sources.
Chelsea will sign a striker this summer to replace Diego Costa, who has been told he is not in Antonio Conte’s plans for next season.
we mkuria wa wapi? waliweka dau wao, kama ni mimi nisingeweza kuweka dau kwa lukaku! ........Kupoteza ela kwann mliweka dau lenu kwake mkishindwa mnaanza kutapatapa.[emoji35]
MMOJA KATI YA HAWA LAZIMA AM REPLACE DIEGO COSTA...!!
Alvaro Morata (Real Madrid),
Pierre-Emerick Aubameyang (Borussia Dortmund),
Andrea Belotti (Torino)
Sergio Aguero. (manchester city)
Vote Now.......