Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,047
- 3,980
- Thread starter
-
- #39,461
SANDRO RECAPCHELSEA BID €50m FOR SANDRO
Chelsea have offered €50m for Juventus full-back Alex Sandro, according to Gazzetta dello Sport.
However, the report suggests the Serie A champions rejected the offer and have said they have no intention to sell the Brazilian.
SANDRO RECAP
Juventus claim they have rejected a bid from Chelsea for left-back Alex Sandro.
The Brazil international joined the Italian champions in 2015 and has been a regular member of a team that's won consecutive Serie A titles. Juve insist they won't sell any of their best players.
huyo ni mpita njia atakuwa amepotea njiaAkili zako unazijua mwenyewe
Conte anataka kusajili hata wale wenye age 30 as long as wana perform, soka la Italy haliangalii miaka kabisa. Sasa Policy ya Chelsea ukishagota miaka 30 huwezi kusajiriwa kama mchezaji mpya hapana, bali kama upo pale unaweza kuwa unapewa mkataba wa mwaka mwaka!!.Mbona nasikia hakuna maelewano kati ya Conte na Maafisa hapo Chelsea
Wakuu embu wekeni sawa anayefahamu zaidi..! Isije ubingwa tukashindwa kutetea!
Wachezaji gani over 30 ambao Conte ametaka kuwasajili?Conte anataka kusajili hata wale wenye age 30 as long as wana perform, soka la Italy haliangalii miaka kabisa. Sasa Policy ya Chelsea ukishagota miaka 30 huwezi kusajiriwa kama mchezaji mpya hapana, bali kama upo pale unaweza kuwa unapewa mkataba wa mwaka mwaka!!.
Kumbuka Lampard aligoma ku-sign ule wa mwaka mwaka akaondoka, Terry akasign wa mwaka mwaka - mwisho kaambiwa yatosha - anasepa.
Conte atakubali tu, sasa inabidi ageukie wachezaji wa chini ya miaka 26 ili kuwaleta kwa mikataba ya miaka 3 hivi.
Jicho la Conte ni kupata sign ya beki kisiki - huyu hapa.
Wachezaji gani over 30 ambao Conte ametaka kuwasajili?
Ndiyo maombi yakoMsimu ujao lazima mshuke daraja
Leonardo Bonucci ni world class defender licha ya huo umri wake ukitaja 3 best CB duniani yupo Conte/Pep walitaka kutoa hata paundi mil 50 kwa sababu anafit kwenye mifumo yao ,CB bora wengi wanafika kwenye peak kwenye huo umri.Pepe,Ramos,Boateng,Koscielny,Chiellini,Thiago Silva,Pique,Mascherano,Godin,Kompany wote wameshafikisha huo umri,Mourinho alichukua ubingwa CB walikuwa JT & Cahill .Kuna tatizo kubwa kwenye uongozi wa Chelsea unaosababisha makocha wengi kufukuzwa(Ancelloti,Di Matteo,Jose) chanzo ni Technical Director Michael Emenalo(Roman anamuamini sana),msimu uliopita Conte hakupata wachezaji aliowataka Bonucci,Koulibally,Manolas,Naingollan & Morata ikabidi amshawishi Matic asiondoke Emenalo akawaleta Luiz,Mitchy ambao hawakuwa chaguo lake.Kuna trend kila kocha aliyechukua kombe Chelsea msimu unaofuatia anafukuzwa kazi (Ancelloti,Di Matteo,Benitez,Mourinho)Conte hataki yamkute ndio maana anataka uongozi usajili wachezaji anaowataka mapema asije akawakosaLeonardo Bonucci is an Italian professional footballer who plays as a centre-back for Serie A club Juventus and the Italian national team.
Born: May 1, 1987 (age 30), Viterbo, Italy
Height: 6′ 3″
Weight: 181 lbs
Spouse: Martina Maccari (m. 2011)
Salary: 1.7 million EUR (2012)
Current teams: Juventus F.C. (#19 / Defender), Italy national football team (#19 / Defender)
Roman Abramovich blocks Antonio Conte from signing Juventus star Leonardo Bonucci
Hapo Azipilicueta haezi tokea benchi, kama ikiwa hivyo Moses ndio atatokea benchiKuelekea msimu mpya - si dhambi kufanya mipango ingawa waswahili wanasema mipango si matumizi., lakini haya yote at the end lazima uwe na FWEEZA.. ndiyo lazima fweeza itumike aka udambwidambwi.
Line up inaweza kuwa hivi mwanzoni mwa Msimu wa kutetea Ubingwa wa PL na kujaribu kulitwaa lile kombe lenye sifa lukuki na mihela kibao - UEFA CL. Mpenzi wa timu la uhakika - je unaonaje hapa? wabaya wetu watachomokamo kweli?
please mkuu weka source of your informationConte anataka kubadilisha mfumo alioutumia kuchukua ubingwa so anaitaji wachezaji hawa colibaly Sandro morata n'a lukaku n'a amesema hatasaini mkataba mpya mpaka wachezaji hao wasajiliwe
Conte anadai anataka wachezaji hao wasajiliwe haraka ili atengeneze mfumo mpya wa uchezaji Kabla league haijaanza
hizi taarifa nyingine sijui media wanazipata wapi?BREAKING NEWS
Sky sources: Chelsea join Liverpool and Manchester City in race to sign Alex Oxlade-Chamberlain from Arsenal.
mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, tunaweza kuwa tunamlaumu emenalo lakini bila kujua hao wachezaji walikataliwa na vilabu vyao kuuzwa na kibaya zaidi chelsea ilikuwa haishiriki uefa hivyo kuwashawishi wachezaji wa calibre uliowataja kuja chelsea bila uefa ilikuwa ni ngumu.Leonardo Bonucci ni world class defender licha ya huo umri wake ukitaja 3 best CB duniani yupo Conte/Pep walitaka kutoa hata paundi mil 50 kwa sababu anafit kwenye mifumo yao ,CB bora wengi wanafika kwenye peak kwenye huo umri.Pepe,Ramos,Boateng,Koscielny,Chiellini,Thiago Silva,Pique,Mascherano,Godin,Kompany wote wameshafikisha huo umri,Mourinho alichukua ubingwa CB walikuwa JT & Cahill .Kuna tatizo kubwa kwenye uongozi wa Chelsea unaosababisha makocha wengi kufukuzwa(Ancelloti,Di Matteo,Jose) chanzo ni Technical Director Michael Emenalo(Roman anamuamini sana),msimu uliopita Conte hakupata wachezaji aliowataka Bonucci,Koulibally,Manolas,Naingollan & Morata ikabidi amshawishi Matic asiondoke Emenalo akawaleta Luiz,Mitchy ambao hawakuwa chaguo lake.Kuna trend kila kocha aliyechukua kombe Chelsea msimu unaofuatia anafukuzwa kazi (Ancelloti,Di Matteo,Benitez,Mourinho)Conte hataki yamkute ndio maana anataka uongozi usajili wachezaji anaowataka mapema asije akawakosa