21 February
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 3,309
- 2,861
Ni kweli Conte hajafurahishwa kabisa na bodi ya ChelseaSky Sport Italia claim Antonio Conte is increasingly irritated at Chelsea directors for not buying players he requested and he could walk away.
This would not be new behaviour for the tactician, who did much the same with Juventus when leaving two days into pre-season training.
According to Sky Italia pundit Gianluca Di Marzio this evening, the rapport between Conte and Chelsea is “starting to crack.”
Yule kichaa anaweza kuondoka kweli nafikiri wamwachie kila kitu afanye yeye
BREAKING NEWSSky Sport Italia claim Antonio Conte is increasingly irritated at Chelsea directors for not buying players he requested and he could walk away.
This would not be new behaviour for the tactician, who did much the same with Juventus when leaving two days into pre-season training.
According to Sky Italia pundit Gianluca Di Marzio this evening, the rapport between Conte and Chelsea is “starting to crack.”
Nadhani tatizo kwa Chelsea ni Mariana Granovskaia na Michael Emenalo kutaka kusajili wachezaji ambao wao wanaona wanafaa na kuacha kufwata matakwa ya kocha. Ni kitu ambacho makocha wengi hawapendi na hiki nadhani ndio bado kuna shida kati ya hao watu na Conte na ndio maana mpaka sasa kunafununu tu hakuna usajili. Nimaoni yangu tu, lakini hebu tusubiri tuone.Yule kichaa anaweza kuondoka kweli nafikiri wamwachie kila kitu afanye yeye
sidhani kama kuna ukweli yaani mpaka julai wachezaji wote wa maana watakuwa wamechukuliwaChelsea itaanza kutambulisha wachezaji waliosajiliwa mara baada ya kuzindua jezi mpya za Nike kuanzia July 1
Hii ishu ndio inachelewesha mambo wadau
Chini ya carpet huenda tumeshasajili tayari
bado yupoyupo mdau hayo ni mambo ya media kuuziaNasikia conte anataka kusepa
Unaota hawezi kuja chelsea hata kwa dawaWamchukue christiano ronaldo maana kasema anasepa madrid.
kivip mkuuMsimu ujao lazima mshuke daraja
Akili zako unazijua mwenyeweMsimu ujao lazima mshuke daraja