Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wakati mwingine gary cahil hata kama unamchukia kwa leo lazima umpende bure tu
Kama sio yeye tushafungwa 3
 
Hapa sio fabrigaz hapa atoke hazard na costa
Aingie wilian na batshuay bila hivyo ni shida
 
Tusilalamike. Mara nyingi comments ambazo hazina uhalisia (unrealistic) zikipingwa anayepinga anaonekana mbishi. Ushabiki na mahaba yaliyopindukia hupelekea mtu kubeza timu pinzani pasipo kuzingatia kwamba matokeo ya mpira ni dakika 90+ na yeyote anaweza kufungwa. Comments nyingi humu kuhusu game ya leo ziliipa Chel nafasi ya kuifunga Ars eti kwa vile hawana beki (sababu nyepesi)! Hata kama tukishinda game hii haitakuwa rahisi kivile kama baadhi walivyodhani.

NARUDIA KUSEMA TENA:

Ninaheshimu sana London derbies. Pia ni mara chache sana Chelsea hushinda kirahisi London derbies hata kama angekuwa anacheza na QPR, Fulham, etc!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom