dume la kenge
Senior Member
- Apr 12, 2017
- 177
- 240
Mkuu mi mwenye mtaani wamenizunguka kazini ndo usiseme wananipigia kelele sana hawa manyoo. Yaani mechi za chelsea zimewakaa kichwani kuliko za kwao.Bora ujifariji kwa Hilo kuliko kutokwa na povu kavu. Cheki sasa ulivyoaibika n.a. utabiri wako uchwara. Chelsea utaipenda tuuuu
si mtasajili, so hamtapata shida sanaAsanthe sana kwa pongezi, ila mnanifanya nifikirie kivumbi cha next season maana ni hatari
Haha mkuu kwa maana hiyo wanaona bora wakose hata kuingia top 4 lakin chelsea wasichukue kombe. Basi hawajielewi.hamna na man utd wameamua mwaka huu kwa hasira wana acha tot awafunge
ubingwa wa Europa ni big deal piaHaha mkuu kwa maana hiyo wanaona bora wakose hata kuingia top 4 lakin chelsea wasichukue kombe. Basi hawajielewi.
KTBFFH... Mtu kakalia 3 Nzito Bila Majibu.Mimi nishawakabizi Epl wana blues!-Msimu huu umewaendea vyema.
"Once a blue Always a blue"
Aisee mumetisha mkuu.KTBFFH... Mtu kakalia 3 Nzito Bila Majibu.
Mkuu ulijificha wapi tena, muda sanaKTBFFH... Mtu kakalia 3 Nzito Bila Majibu.
Mbugi jingi.. Wanangu wa darajani wana hatari sanaAisee mumetisha mkuu.
Ubingwa njenje kama vazi la kahaba.
Kweli kabisa mkuu, nilikua napambana na taratibu za maisha yetu ya kila Siku.Mkuu ulijificha wapi tena, muda sana
Tushinde game tatu tu zijazo basi kazi imeisha....tukianza na Boro tarehe 8Oiii tumebakiza point ngap ili tuwe mabingwaa. ..
Europa ipi iyoo [emoji3] [emoji3] wee europa uendi popoteeetuna deal na europa
top four siyo kombe mkuu
hahahaEuropa ipi iyoo [emoji3] [emoji3] wee europa uendi popoteee
Ahaa apo mechi mbili mabingwaa. .toti hawezi kutufikia kabisaaTushinde game tatu tu zijazo basi kazi imeisha....tukianza na Boro tarehe 8
una timu ya kuchukua ubingwa wa Europa wewe??. .......... Europa sio makalio.ubingwa wa Europa ni big deal pia