Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwa hiyo Arsenal ni sawa na West Ham?

Ni kwamba wote wanausikia ubingwa kunako bomba...Bingwa ni mmoja tu.............Chelsea..........sisi wengine tumeshindwa kuuchukua ubingwa......hatuchekani
 
Wengine huwa wanajificha hata MAXI nae ni The Bluez,Hivi ile uwe Moderator lazima uwe Blues
Invisible,Maxi,Ab Tchaz wote BLUES nahisi hata FARIDA nae ZE BLUES

Congratulation tutaonana next season,now nahamia NBA
 

Kwenye list umemsahau Mzee Mwanakijiji nae ni Chelsea damu hahahahaha
 
Wengine huwa wanajificha hata MAXI nae ni The Bluez,Hivi ile uwe Moderator lazima uwe Blues
Invisible,Maxi,Ab Tchaz wote BLUES nahisi hata FARIDA nae ZE BLUES

Congratulation tutaonana next season,now nahamia NBA

...ha ha ha, ndio kusema wangeukosa ubingwa leo JF ingekuwa "under maintanace" au?
dah, 'vijembe' hivi tutavikosa kipindi cha off-season...yaani mpaka August!!!...aaahh

Anyway, ngoja tuelekeze nguvu katika demokrasia sasa... Thread ya SIASA/UCHAGUZI MKUU zinahitaji msisimko mpya...

Tupo pamoja!

 
Nakumbuka hawa wigan walivyopigwa goli 9-1 na spurs waliwarudishia hela mashabiki wao walioenda kucheki game sasa sijui mechi ya leo (8-0) watarudisha tena au vipi lol.
 
hahahahahahaha hongera hii inatoka moyoni au ni ya kishkaji tu? Pole sana subiri msimu ujao.

Inabidi tu,nitafanyaje sasa!..ila duh!..eniwei still nawapa hongera Chelski..tho mi ni Ma U Damu na asante kwa pole!!
 
Hahahahahah! Sijui nianzie wapi!! Chelsea, Chelsea, Chelsea!! Fulham Broadway is buzzing, everyone is soaked up!! We're the Champs!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…