Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Dah tunateleza tu,Pedro ametupia kama Kichuya lile goli la pili...Dah ila Kante mwisho wa matatizo yaani mipira anavyoinasa kama Makelele...naona Makelele alikuwa Benchi kumbe yupo Swans?
 
Mna mnywa tatu?
Basi sawa

Vipi zimetimia hizo Tatu?, Ngoja nikuulize kitu kaka, mbona unapenda kujitesa hivyo ndugu yangu? Kwa nini unajinyima raha kwa vitu vilivyo wazi kabisa? Wewe kila siku unasema leo ndio mwisho wenu, wiki ijayo ndio mwisho wenu, lakini mwishowake unabaki na maumivu na sononeko kuu la Moyo, soma alama za nyakati kaka, Chelsea ni Unstopable msimu huu,

Ngoja nitangulize pole yangu, hapo Jogoo atakapochinjwa na Leicester City
 
Hahaha uyo mtu muache kama alivyo [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
16806711_1953231198234268_9052429694355586799_n.jpg
 
Chelsea anaendelea kukimbia tu hakuna tabu hapo..... Tabu ni kwa wale wanaomkimbiza. Kinachowafanya Chelsea wawe hapo walipo ni kujua namna ya kuumaliza mchezo pamoja na Yule ng'olo kantelele na hazard wake basi.

Huu ni muda wa kuvaa jezi za Chelsea na kuvua mashati na blauzi zenu..... Mpaka sasa hivi jezi ya kante haijafika sokoni kwetu.... Kama anavyofanya shughuli na kuipata nayo ni shughuli.

Best player on the field ng'olo kante..... Kamfanya fabregas afanye kazi rahisi katika wakati mgumu katika nafasi ya matic... Ng'olo Kante wachache sana wanaopigiwa makofi na wazungu.

Chelsea 3-1 Swansea city.....
 
Jamani kama hauna watu wanaofanya miujiza ya kisoka kuchukua epl ni kama ndoto!! Maana goli la pedro limekuja from no where!! Ila hazard kawa mpodoaji sana wa kazi maana siku hizi hataki kufanya vitu vya kawaida yeye hadi aone ni kizuri ndo anafanya ingawa kinakua kizuri kweli!! Hii mm naona inachelewesha mambo

Mfano goli alilowafunga man city alikuwa anaweza kufunga kawaida tuu, ila sasa akaamua kufunga kwa style fulani ili goli lipendeze, mm naona anazingua yeye awe anafunga kama kina ronado tuu, ya kawaida na mazuri humohumo maana hata clip zake magoli ya kawaida ni penalt tuu ila mengine yana urembo mpaka basi, kama kujua kua yeye ni fundi tunajua na yeye anajijua so aache kucomplicate
 
Ule udambwi udabwi sio mbaya, sema mi nataka awe anapiga kwa muda na mtu muafaka. Kuna saa anaweza piga mpira kumbe ampae hata hajui wala hategemei kama atapewa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Fabregas na Pedro ndo kidogo naona wanajitahidi kumsoma cku hizi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom