Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hakusoma [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]


Ata km atasoma hawezi jibu kitu. [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]


Kaka umekua mganga WA kienyeji naona utabiri wako ulitimia

Kaka Ntuzu pole na majukumu, umepotea sana ndugu yangu, Mkakati wa kula keki ya Ubingwa ukoje, nadhani kwa watu walioko dar tunaweza kukutana sehemu na kupanga mikakati ya kula keki ya pamoja ya ubingwa
Mentor , kalou , Kunguru Mjanja hebu tuangalie uwezekano wa kufanikisha hili
 
Kaka Ntuzu pole na majukumu, umepotea sana ndugu yangu, Mkakati wa kula keki ya Ubingwa ukoje, nadhani kwa watu walioko dar tunaweza kukutana sehemu na kupanga mikakati ya kula keki ya pamoja ya ubingwa
Mentor , kalou , Kunguru Mjanja hebu tuangalie uwezekano wa kufanikisha hili
Asante sn mkuu. Pole na wewe na majukumu.

Ni kweli mkuu tuanze mikakati hiyo...
 
3DE4BEEE00000578-0-image-a-10_1488663130438.jpg


Kante (bottom, second right) was the smallest player in the Suresnes but a stand-out talent

3DE4BF5D00000578-0-image-a-11_1488663211787.jpg


Kante's team-mate celebrate with his player of the tournament trophy as he watches on (left)

3DF6EC0F00000578-0-image-a-14_1488663341487.jpg


The athletic midfielder rose through the ranks of French football and turned out for Caen


3DF6F3D300000578-0-image-a-17_1488663470803.jpg


Kante became a league champion with Leicester during a fairytale first season in England
 
E. Hazard Vs West Ham stats

Eden Hazard has score 4 Premier League goals v West Ham; against other no side has he scored more (also 4 v Newcastle & Spurs). Counter.
 
Kwanza kabisa niwapongeze wana Cfc wote kwa ushindi mwembamba kabisa, hatimae kuondoka n.a. point yetu 3 kirohoo safi kabisa.
Pili, mpira ina makosa madogodogo ambayo hutokea bila player kutarajia n.a. kucost timu. Kwenye timu yetu niliona makosa yakitokea Kati kipindi cha kwanza kwani palipwaya sana n.a. kusababisha wapinzani kumiliki na kutawala mchezo kwa muda mrefu.
Tatu, wachezaji ambao hawakwepo kabisa kwenye form ni Fabrigas, Diego, Moses hawa wachezaji usiku wa Jana haikuwa pouwa kwao kabisa walipwaya kwa kiasi fulani. Moses hakipata mpira anabutua au anatoa pass kwa kipa kwa kweli nilikuwa nakereka sana n.a. hali hii. Costa kuna pasi mbili alitengenezewa n.a. Hazard angekuwa yule Costa wa mwanzo basi angepiga Hatrick n.a. kuondoka n.a. mpira wake. Fabrigas nae jana alikuwa mwepesi kama mlenda n.a. kukimbia uwanjani ovyo na kumfanya Kante afanye kazi kubwa sana. Mwisho wa yote anasababisha kosa ambayo pengine tungekuwa one one basi tungechukua point Moja tu.
Nne, Natoa pongezi kwa Hazard, Kante, Luis, Cahil, Azilipicueta kwa kazi nzuri waliyoifanya. Kweli hawa wachezaji walifanya kazi kubwa sana kuakikisha tunatoka n.a. ushindi muruaa kabisa. Big up to them.
Maoni yangu. Kama Conte ameingia uwanjani kwa kuitaji point 3 au timu inapigania ushindi basi fabrigas aanzie bench au conte acheze 3.5.2 lasivyo Fabrigas asubiri. All in all tukutane next game Stanford Bridge tukiwakaribisha Manure kwenye FA Cup.
Nawasilisha.
 
Kongole kwa blues kwa ushindi na tukumbuke uwepo wa fabry unasababisha tufungwe na kufunga kiulaini sana ni suala la manager kuamua


Ulichokisema ni sahihi.

Kama tunataka magoli kiulaini basi Fabregas aanze ila tuwe tayari kufungwa pia. Anamchosha sana N'golo Kante

La sivyo aanze Matic tuwe na uhakika wa kutokufungwa ila magoli tuyatafute kwa tochi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom