Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,879
Conte alienda kufanya u-spy kwasababu hivi karibuni England na Italy zitakwaana. Sasa alitumwa na waitaly kufanya u-spyZipo tetesi kwamba Konte ameenda kupata ushauri kutoka Rugby team. Nini kipo nyuma ya pazia?
Antonio Conte: Chelsea boss meets England rugby union coach Eddie Jones