Niaje mazee ..kama kawa jana tumewakilisha vyema kama ilivyo desturi yetu. Ila kuna kitu sjaelewa kuhusu FA; ivi ni timu ngp hushiriki? Kwan kuna raundi ngap had uingie robo fainali, nusu had fainali? Naombeni wakuu mnijuze kuhusu ili kombee maake naona fifth round mara forth round. ...