Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Gap la mtu wa pili limeongezeka kwa point moja, kulikiwa na tofauti ya point tisa sasa ziko kumi

zilikua saba mkuu sasa zimekua nane, akidroo au kufungwa man city ndio zinakua 10, chelsea leo wamezingua kinomanoma, back pass nyiiiiingiiiiii........... mpk wanakera.
 
IMG_20170212_221836.png
hawa watoto wakiwa kwao wazuri Sana pointi zaidi YA 99% wamezipatia home.....
IMG_20170212_223541.png
 
zilikua saba mkuu sasa zimekua nane, akidroo au kufungwa man city ndio zinakua 10, chelsea leo wamezingua kinomanoma, back pass nyiiiiingiiiiii........... mpk wanakera.

Sawa kaka, mimi nazungumzia mpaka sasa kati ya Chelsea na anayemfuata Totenham, ndio kuna hilo gap la point 10, Chelsea sio kama walizingua ila kulikuwa na shida nyingi tu, Hali ya hewa na kiwanja ilionekana kama inawashinda Chelsea, Pili jamaa huwa wanakamia sana mechi zao za home, ni wagumu sana kuachia point tatu hapo, timu ilikuwa nzuri na Sub zilikuwa nzuri

Kupata point moja ni afadhali kuliko kupoteza tatu
 
Droo ya jana.conte anahusika.sijajua anampendea nini matic.point 10.sio nyingi EPL.upepo utakuja kubadilika atakuja kushangaa.
 
Sawa kaka, mimi nazungumzia mpaka sasa kati ya Chelsea na anayemfuata Totenham, ndio kuna hilo gap la point 10, Chelsea sio kama walizingua ila kulikuwa na shida nyingi tu, Hali ya hewa na kiwanja ilionekana kama inawashinda Chelsea, Pili jamaa huwa wanakamia sana mechi zao za home, ni wagumu sana kuachia point tatu hapo, timu ilikuwa nzuri na Sub zilikuwa nzuri

Kupata point moja ni afadhali kuliko kupoteza tatu
diego kazingua sana mechi ilikuwa rahisi kama tungekuwa ma strike sharp
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom