Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Naona D. Luiz anachechemea akitoka I hope Zouma yupo bench.

Na hawa madogo ni wa kuwawekea Fabregas tu.
 
634875772.jpg

Pedro akoshaangilia baada ya kufunga goli la kwanza kwa Chelsea
 
2017-02-12T135612Z_129909372_MT1ACI14750641_RTRMADP_3_SOCCER-ENGLAND-BUR-CHE.JPG

Faulo iliyopigwa na Robbie Brady na kusababisha goli la kwanza kwa Burney

2017-02-12T135750Z_129909470_MT1ACI14750652_RTRMADP_3_SOCCER-ENGLAND-BUR-CHE.JPG

Wachezaji wa Burnley wakishangilia goli
 
Naona D. Luiz anachechemea akitoka I hope Zouma yupo bench.

Na hawa madogo ni wa kuwawekea Fabregas tu.
Game kama hizi sio za Fabregas kukaa nje kabisa yani nashangaa Conte anamsifia kwenye media halafu anamuweka bench
 
2017-02-12T133344Z_129908024_MT1ACI14750600_RTRMADP_3_SOCCER-ENGLAND-BUR-CHE.JPG

Bado naona huyu jamaa anamambo yake kama mechi iliyopita ya kuwa mzito na mchoyo

2017-02-12T133312Z_129907992_MT1ACI14750598_RTRMADP_3_SOCCER-ENGLAND-BUR-CHE.JPG

Anajitahidi leo kwa kiasi chake naona
 
Kweli kabisa tena ikiwezekana atoke Costa tu.
Mbona mi sijaona uchoyo wa Costa. Tena if anything wao ndo wanamnyima clinical passes. Kwa hili nitamtetea.

Mtu anayejaribu kumpa pasi ni Alonso shida naye si mtaalamu. Subiri aje kuingia Fabregas utaelewa
 
Ngoja nirekebishe kauli kidogo. Yaan kuna pasi za kupisha haraka sana yeye ana hold mno, hafanyi fasta fasta.

Ni kweli Fabo ana macho na anaweza kumuona sana akiingia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom