ChaterMaster
JF-Expert Member
- Aug 17, 2009
- 1,623
- 808
Thx BAK, btw kwani we upo wing gan. . ?Hongereni Wakuu humu jukwaa hili, MNATISHAAAA!. Mna timu nzuri ambayo sasa inajiamini sana kwamba kila inaposhuka uwanjani ni ushindi tu. Heri ya Mwaka mpya wa 2017.
Mkuu ilikuwa hatari bandika-bandua, madogo walituchungulia vibaya. .hawa stockcity walitaka kutuharibia mwaka mpya
Thx BAK, btw kwani we upo wing gan. . ?
Hahaaa..Mkuu hapo kwenye rangi umeniacha kwenye mataa. Hebu nifafanulie Mkuu.
Hahaaa..
Namaanisha unashabikia club gan EPL.
Kwa sasa timu zenye hali ya kugombea ubingwa ni chelsea liver na arsenal man city au man u hawapo kabisa so usijichoshe kifupi man u ata kwenye top four hatakuepo
Mia mia haina noma pamoja. .Mkuu mimi ni wa pale Emirates damu damu, leo tumemchapa mtu 2-0 Jumanne tunamchapa mwingine 3-0.
Huwa nawashangaa wanaoijumuisha man u ktk mbio za ubingwa hii man u iliyofungwa na chelsea goli 4 hata top 4 sidhani kama wataingia
Mia mia haina noma pamoja. .
Leo nimeona mambo yenu ya Giroud katisha na bao lake.. , tulikuwa nawashkaji hapa tunajiuliza hivi hili bao na lile la jana la Costa lipi kali. .
BTW tunasubiri list ya mabao bora ya wk.. tuone. .
Ila itategemea na categories watakavyoziweka, maana kama wataamua ku-categorise mabao ya kuyatafuta kwa mbinde huku akiwachambua na kuwakabili mabeki hadi kufunga, basi bao la Costa litapewa kipaumbele. .Goli la Costa Mkuu halioni ndani kwa hili la leo la Giroud hili litakuwa ni bao la mwaka na sidhani kama kutakuwa na goli zuri kama hili katika msimu huu, lakini kwenye football maajabu hutokea.
Hii game watu km Hazard na Pedro watawekewa Marking kubwa sn alafu ule upande wa Moses, Rose atakua anapanda sn na pia Walker ndio maana umeona leo Walker hakucheza kabisa ata sub hakuwepo na huyu Rose kacheza juu kabisa.... So pale kati watawekwa Wanyama na Dembele ndio maana ata leo Dembele kaanzia benchi. So tutegemee hali kua hivi.Mfumo waliotumia leo spurs naona umewaletea positive results , katika mechi yetu vs wao kweli hawawezi kumuacha wanyama peke yake lazima wawe wawili apo Kati na ndipo watakapofungwa vizuri ,,muhimu nahisi watachezea mpira sana ila ntafurahi Pedro aanze na partner wake wote hazard na costa alafu Kati wawe matic na Mkata umeme aka ngolo ...fab kimtazamo wangu hasianzee
Uwezo wa kunyumbulikaa kwa hazard na Pedro itasaidia sana mkuu ,,advantage iliyopo dembele na wanyama watastick sana kulinda wakilazimisha kupanda apo ndo tunawala vizuriHii game watu km Hazard na Pedro watawekewa Marking kubwa sn alafu ule upande wa Moses, Rose atakua anapanda sn na pia Walker ndio maana umeona leo Walker hakucheza kabisa ata sub hakuwepo na huyu Rose kacheza juu kabisa.... So pale kati watawekwa Wanyama na Dembele ndio maana ata leo Dembele kaanzia benchi. So tutegemee hali kua hivi.
Mkuu Dembele na Wanyama watalazimisha kupanda mbele na Hazard na Pedro hawa hawatocheza mpira kwa raha.....Uwezo wa kunyumbulikaa kwa hazard na Pedro itasaidia sana mkuu ,,advantage iliyopo dembele na wanyama watastick sana kulinda wakilazimisha kupanda apo ndo tunawala vizuri
Thibitishaktk forum kama hizi mtu anaandika kidogo tu..ni jukumu la msomaji kutafakari alichoandika mtoa post kupata ujumbe wake!!tukianza kufafanua weeeeee itakuwa tunaandika makala humu!!nimeitaja man u kwa vile imeonyesha consistence ya ushindi ambayo ndio inayohitajika kumpata chelsea..na nikaweka bayana man utd tatizo ipo mbali sana!!hao uliowataja wanaomkimbiza chelsea hawana consistence sio tu wakati huu bali hata rekodi zao za miaka ya karibuni ni team kama zenye homa za vipindi!!Uingereza ni timu 2 tu zenye uwezo wa kukukumbiza kimyakimya ukizubaa unaliwa nazo ni Man Utd na Chelsea.
ukihitaji ufafanuzi zaidi sitasita kukupa mpaka uelewe nilichomaanisha
mfano ni arsenal ambao miaka yote wanaonekana kama wanaweza kuchukua ubingwa mara ghafla mwishoni wanatepeteka mpaka wanaukosa ubingwa!nawasilisha uthibitisho wanguThibitisha
Hebu tuambie ulicho jifunzaYeah nina hamu sn na hizi game kubwa za away ili nione namna tunavyofanya mambo....
Ktk game ya City nilijifunza mambo mengi sn sasa nataka kuona kwa Spurs na Lfc
Hoja dhaifumfano ni arsenal ambao miaka yote wanaonekana kama wanaweza kuchukua ubingwa mara ghafla mwishoni wanatepeteka mpaka wanaukosa ubingwa!nawasilisha uthibitisho wangu
Katika magoli bora ya mwaka angalia orodha youtube kama ujapiga volley au kumpeleka kipa anapotagia njiwa haupati tuzo hiyo alipaa van persie ka malaika goli bora likawa la james Rodriguez ,kwa watoa tuzo goli la kawaida kwenu mashabiki boraGoli la Costa Mkuu halioni ndani kwa hili la leo la Giroud hili litakuwa ni bao la mwaka na sidhani kama kutakuwa na goli zuri kama hili katika msimu huu, lakini kwenye football maajabu hutokea.