Siku zote usiingie uwanjani kwa kutumia /kufikiria matokeo ya bahati.City hawakua na bahati km waliyokua nayo lfc lkn kwa jinsi lfc inavyocheza ifanye kz sn kushindana na hizi timu kubwa
Tumecheza vizuri sana, sema Timu nyingi kwa sasa huwa zinamkamia sana Chelsea.Kwa kweli Hatukucheza poa leo
Mkuu hebu mwambie bhanaaa,Acha ushabiki mkuu mpira unabadilika kulingana na gemu we unazani liver kucheza ivyo leo ndo atacheza kila siku
Nyakati za dhiki wanapoteakivip mkuu
wako sahihi mara nyingi timu inapofanya vizuri huwa inapata uungwaji mkono mkubwa na mashabiki lakini inapofanya ovyo kama chelsea last season washabiki hukata tamaa hata uungwaji mkono hupungua kumbe kwa chelsea kuwa na washabiki wengi kwa sasa haishangazi kwani inafanya vizuriNyakati za dhiki wanapotea
Ata km atabadilika bado sioni makali yao sn vileAcha ushabiki mkuu mpira unabadilika kulingana na gemu we unazani liver kucheza ivyo leo ndo atacheza kila siku
yaani mkuu hawa liverpool nilitegemea mechi ya everton na hii ya man city lakini hawajapoteza halfu useme wanabahatisha hilo nakataa kabisa mpira unabadilika hii liver ya sasa wamedhamiriaMkuu hebu mwambie bhanaaa,
Au tumuulize ktk timu zilipo Top Four ni timu ipi iliyomfunga Liverpool....??
Liverpool anakania timu kubwa siku zote toka miaka hiyo yeye yuko radhi kufungwa na watford lkn si city or Utd.Mkuu hebu mwambie bhanaaa,
Au tumuulize ktk timu zilipo Top Four ni timu ipi iliyomfunga Liverpool....??
asante mkuuMkuu hebu mwambie bhanaaa,
Au tumuulize ktk timu zilipo Top Four ni timu ipi iliyomfunga Liverpool....??
Mkuu kwa hii lfc sioni kupambana kwao sn huko mbele.... Tena kwa chelsea tukienda kwao wakipata sn ni sare.yaani mkuu hawa liverpool nilitegemea mechi ya everton na hii ya man city lakini hawajapoteza halfu useme wanabahatisha hilo nakataa kabisa mpira unabadilika hii liver ya sasa wamedhamiria
mkuu liver ya sasa sidhani kama itapoteza kwa hizo timu ktk msimu huu zaidi ya mechi alizopotezaLiverpool anakania timu kubwa siku zote toka miaka hiyo yeye yuko radhi kufungwa na watford lkn si city or Utd.
Chelsea tulipoteza kwa lfc mapema sn wakati huo tulikua tunasuasua lkn kwa sasaivi sio rahisi kabisa.Mkuu hebu mwambie bhanaaa,
Au tumuulize ktk timu zilipo Top Four ni timu ipi iliyomfunga Liverpool....??
Nitakuja kukumbusha.mkuu liver ya sasa sidhani kama itapoteza kwa hizo timu ktk msimu huu zaidi ya mechi alizopoteza
mkuu ombi letu yote yafanikiweChelsea tulipoteza kwa lfc mapema sn wakati huo tulikua tunasuasua lkn kwa sasaivi sio rahisi kabisa.
Tarehe 4 tunaanza na Spurs, najua Spurs atataka kutawala mpira muda wote hapo ndio tutamfunga vibaya sn.
Chelsea ni timu inayocheza kwa nidhamu ya hali ya juu sn kwa dk zote sasa tulizeni ball muone hiyo j5
nasubiria siku hiyoNitakuja kukumbusha.
Hiyo ni kawaida yao
Hilo ndio kubwa mkuu lkn napenda kukwambia hivi sasaivi chelsea ata ikipata sare basi utakua ni msiba mkubwa hiyo ni sare tu.mkuu ombi letu yote yafanikiwe