Mi ningependa wewe PNC 1 wakupe hilo jukumuHongera mkuu
Invisible Maxence Melo nasi Fc Barcelona tunasubiria utuwekee mtu mwingine kama ulovyomuweka Kunguru mjanja akamatie uzi wa Chelsea
Barcelona muweke Red Giant au BlackPanther
Nina imani huwez onyesha upendeleo
[HASHTAG]#HAKI[/HASHTAG] SAWA
Asante kwa maoni yako mkuu naamini uamuzi upo kwaoMi ningependa wewe PNC 1 wakupe hilo jukumu
Mkuu ombi langu ni kuwa uwe "active" kutu-inform habari zote za chelsea daily, transfers+game za chelsea+pictures+videos+etc" Thanks in advance nadhani umenielewa.Asanteni sana wakuu, kwa kupewa uzi huu. Ila ni wetu sote tushirikiane kuambiana nini kiwepo kuupendezesha uzi huu
[HASHTAG]#KTBFFH[/HASHTAG]
Tunahitaji kumsaidia Ktk hilo maana si kila siku atakua activeMkuu ombi langu ni kuwa uwe "active" kutu-inform habari zote za chelsea daily, transfers+game za chelsea+pictures+videos+etc" Thanks in advance nadhani umenielewa.
Mh? Liver hawezi kutufunga tena aisee amini hilo.wadau gemu ya chelsea na liver naiombea iwe draw tu
Ha ha ha mpira unadunda... na mpira ni dakika 90... mtakula gegenpress mpaka mchanganyikiwe tena mnakuja anfield[emoji28][emoji28]... hapo mbuzi Kafia kwa muuza supu....Mh? Liver hawezi kutufunga tena aisee amini hilo.
Yaani sare hampati ata kidogo..... Lazima mpoteze tu huo michezowadau gemu ya chelsea na liver naiombea iwe draw tu
Kweli mkuu.... Yaani LFC safari hii watajutaMh? Liver hawezi kutufunga tena aisee amini hilo.
Usiofu kamanda watadraw wenyewewadau ligi bado iko tight mno liver bado anatung'ang'ania hataki tuongeze gape la point 6 ngoja tusubiri mechi ya liver na man city hapa ndipo tutajua liver ipo serious au nguvu za soda
Kwa beki za liver walivyocheza jana,wakicheza na Chelsea vile kwa Momentum ya Chelsea kupigwa Liver ni kama Kuulza Ukata wa Maisha awamu hii ya Tano....!!Ha ha ha mpira unadunda... na mpira ni dakika 90... mtakula gegenpress mpaka mchanganyikiwe tena mnakuja anfield[emoji28][emoji28]... hapo mbuzi Kafia kwa muuza supu....
Muda ndo utaongea... gap la point 6 tutalipunguzia kwenu...Kwa beki za liver walivyocheza jana,wakicheza na Chelsea vile kwa Momentum ya Chelsea kupigwa Liver ni kama Kuulza Ukata wa Maisha awamu hii ya Tano....!!
ENZO naona ni fans mkubwa wa hazard, kuhusu hazard hayo maudambwidambwi hapo ndiyo mahala pake na kumfananisha na james ni matusi kabisa ila ndugu yangu huyo james ktk issue ya scoring hasa magoli ya mwezi hapo ndiyo mahali pakekwa mambo haya hazard anafananishwa na james kwelii!!!!! ".......... unakua ni ukatili wa hali ya juu.
Nigeria haishirikinasikia january hii Moses anakwenda kwenye mataifa huru ya Afrika, hivi kuna ukweli wowote, anayejua aweke ukweli wa hilo
Ktk timu ninayo ihofia sn hasa ikiwa kwao ni Spurs.wadau ligi bado iko tight mno liver bado anatung'ang'ania hataki tuongeze gape la point 6 ngoja tusubiri mechi ya liver na man city hapa ndipo tutajua liver ipo serious au nguvu za soda