Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tarehe 4 tuko Ktk machinjio ya Spurs. Tukitoka hapo tutakwenda kwao Leicester alafu tarehe 31 tutakua kwao LFC na tarehe 4 feb gunners watakuja kwetu. Hizi timu kubwa tukizifunga basi Ktk hii hii january tunajihakikishia ubingwa
Ni kweli yani January ikiisha na gumewafunga wote hao basi ubingwa ni wetu...wapende wasipende...January!

Nashukuru nitakuwa nimetoka huku porini maana streaming mara nyingi huwa inagoma kama leo nimeambulia goli la tatu tu, huko kwingine ilikuwa ina stuck vibaya!!

Cant wait for the new year...
 
Pole sn mkuu kwa kua huko polini....

Unajua mkuu chelsea inafanya vzr kwasababu haina presha. Huu utofauti wa points unawafanya wachezaji wacheze huku wakiwa wamerelax akili zao tofauti km tungekua tunaongoza kwa tofauti ya point moja tu yani mnakua mnacheza huku mnamawazo. Ata mkiwa mnachelewa kupata Goli mnazidi kuchanganyikiwa. Lkn kwa hii tofauti yani timu inaingia uwanjani wachezaji wakiwa na nyuso za furaha na bashasha.

January mpo feb tunajihakikishia ubingwa
 
Owen na Ferguson walikua wakiongea kishabiki sn na si kwa uhalisia.

Sasaivi wamejionea wenyewe. Conte ana msemo wake anaupenda kuwambia wachezaji wake kwamba waache miguu iongee.

Tukikaza January tu ubinhwa ni wetu, Arsenal hawana shida sana, kwani wakishafika kipindi hiki wanajiweka kwenye nafasi yao waliyoizoea, na mechi ya Liver na Man city nayo itawapunguzia point mmojawapo

Hapo timu za kuziofia ni Man United na Liverpool, angalau hizo zinaweza kuleta changamoto kidogo hapo baadae
 
Yap mkuu yani mpk february tarehe 10 ubingwa tutakua tumeshajihakikishia
 
ufafanuz mzuri
 
Mkuu tuko pamoja na kibongo bongo nipo na wakimataifa zaidi.!
 
jana raund ya kwanza imeisha metch ya man city na liverpool matokeo yalikuwaje mana sikumbuki kabisa
 
Reactions: Lee
Ni msimu wa rangi ya Blue kama ilivyokuwa mwaka jana.. maana kila anayekuja ni kichapo tu

Wapinzani wa Chelsea wasitumie nguvu kupata matokeo kwa sababu haitasadia kitu
 
Tutamkosa Pedro kwenye gemu ya stock ni ombi langu kila mwenyekadi nne hazikamilishe kabla ya fixture ngumu
Mkuu mwaka mpya kadi zote zinaanza upya so mechi ya stroke city ni kujichunga tuu kadi zote zifutwe[emoji4] [emoji4]
Tutamkosa Pedro kwenye gemu ya stock ni ombi langu kila mwenyekadi nne hazikamilishe kabla ya fixture ngumu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…