Mi najua 3-some! Hiyo nyingine waseme wengine.Naomba mniambie Chelsea anatumia mfumo gani, maana anavyoshambulia nyuma anabaki beki mmoja tu anavyoshambuliwa mbele anabaki forward mmoja tu.
Huu mfumo unaitwaje.?
Hayo ya Eddo mwachie mwenyewe......Bao la mkhitaryan tamu lakini offside....bao la Giroud kali lakini ushindi wa Arsenal ni mgumu kama uchaguzi wa Zanzibar....Chelsea ushindi siku hizi kama kupiga mswaki, imekuwa kawaida.....
Mwaka huu wangu,Chelsea,Newcastle united,simba sc.
mimi ninavyojua anaposhambulia beki wanabaki watatu ambao ni luis,azplicueta, na cahill hilo lakubaki mmoja ndiyo nalisikia kwako,Naomba mniambie Chelsea anatumia mfumo gani, maana anavyoshambulia nyuma anabaki beki mmoja tu anavyoshambuliwa mbele anabaki forward mmoja tu.
Huu mfumo unaitwaje.?
Mara nyingi hubaki D. Luiz ama Cahill nyumamimi ninavyojua anaposhambulia beki wanabaki watatu ambao ni luis,azplicueta, na cahill hilo lakubaki mmoja ndiyo nalisikia kwako,
ndugu idawa vipi tuko pamoja kwenye jukwaa hili au umekuja kutusalimia maana mara nyingi ninakucheki kwenye jukwaa la bwana yule
yaani wakati mwingine unaweza ukadharau hizi timu ni wajinga kwamba wanashindwaje kuifunga chelsea mpaka timu inashinda straight mara 12 lakini nilichokiona hawa makocha wa timu pinzani na hasa hizi timu kubwa wanakosea wanapokutana na chelsea.Ukishinda game 12 mfululizo hauna unavyoweza kucomment bila kujisifu..
KTBFFH
Sio Owen tu, hata Sir Alex Fugerson alishasema hayonilishangaa oweni anasema chelsea hawezi kuwa bingwa sijui alichambua kwa kutumia akili au upenzi anawapa liver nafasi au man u
S
Sio Owen tu, hata Sir Alex Fugerson alishasema hayo
Owen na Ferguson walikua wakiongea kishabiki sn na si kwa uhalisia.Wakina ferguson hata big 4 walituondoa nadhani siku hizi wanajificha chini ya meza
Naomba mniambie Chelsea anatumia mfumo gani, maana anavyoshambulia nyuma anabaki beki mmoja tu anavyoshambuliwa mbele anabaki forward mmoja tu.
Huu mfumo unaitwaje.?
ngoja waendelee kuisoma namba huko nyumaOwen na Ferguson walikua wakiongea kishabiki sn na si kwa uhalisia.
Sasaivi wamejionea wenyewe. Conte ana msemo wake anaupenda kuwambia wachezaji wake kwamba waache miguu iongee.
Tarehe 4 tuko Ktk machinjio ya Spurs. Tukitoka hapo tutakwenda kwao Leicester alafu tarehe 31 tutakua kwao LFC na tarehe 4 feb gunners watakuja kwetu. Hizi timu kubwa tukizifunga basi Ktk hii hii january tunajihakikishia ubingwaS
Sio Owen tu, hata Sir Alex Fugerson alishasema hayo
Uko sahihi sana mkuuKaka Chelsea wanacheza mfumo wa 3-4-3, huo mchezo unabadirika kulingana na mazingira, kama tunashambuliwa kwa shabulizi la kawaida na la mpito, basi mfumo unakuwa 4-3-3, beki zinakuwa nne, Alonso Kushoto, kati Luis na Cahil na kulia ni Azip, na katikati kunakuwa na Matic, Kante na Victor moses na mbele kunakuwa na Willian, Hazard na Costa
Tukiwa tunashambuliwa kwa muda mrefu na timu inazidiwa basi mfumo unabadirika na kiwa 5-4-1, nyuma kunakuwa na beki tano, Luis, Azip, Cahil, Alonso na Victor moses, katikati tunakuwa na Matic, Hazard, Kante na Willian na mbele anabaki Costa kusubiri counter attack.
Tukiwa tunashambulia kwa kujihami, yaani mechi iko 50:50, mfumo unakuwa 3-4-3, na tukiwa tunatawala mechi basi mfumo unageuka na kuwa 2-3-5 yaani hapo lazima ufungwe, nyumba anabaki Azip na Cahil, kati anasogea Luis, Matic na Konte mbele kunakuwa na Victor, William, Hazard, Costa na Alonso
Huo ni mfumo mzuri sana, sema unahitaji wachezaji wepesi, inahitaji wachezaji wenye uwezo wa kuhold Mipira na wachezaji wenye skill zakufunga
haha ngoja waendelee kuisoma nambaOwen na Ferguson walikua wakiongea kishabiki sn na si kwa uhalisia.
Sasaivi wamejionea wenyewe. Conte ana msemo wake anaupenda kuwambia wachezaji wake kwamba waache miguu iongee.
mfumo ni 3-4-3 lakin tukiwa tunashambulia wing back wawili mfano moses na alonso wanapanda kufanya idadi ya watu 5 kule mbele hivyo kubaki wawili hapa nyuma yaani cahil na luiz, lakin cahil atapanda kweny kiungo ili kuongeza idadi ya viungo na kuwa 5 hivyo nyuma atabaki beki 1 luiz..tunashambuliwa wing backs wote watarud kufanya jumla ya beki kuwa 4 yaani alonso, moses, cahil na luiz, lakin kiungo mkabaji mfano cante atarudi deep zaid kumsaidia central defender mmoja hasa cahil ambaye ataenda pembeni kidogo hasa upande wa alonso, then playermaker mfano matic au fabregas atarudi deep kiasi kwenye nafasi iliyoachwa na defensive midfilder yaani cante. Kwa mahesabu hayo utaona tunakuwa na beki beki 4, viungo wakabaji 2 n viungo wengine 3 na striker mmoja tunashambuliwa. Ni mfumo mgumu kuuzuia ingawa unawezekana, sema pia ni deadly ktk counter attack. KTBFFHNaomba mniambie Chelsea anatumia mfumo gani, maana anavyoshambulia nyuma anabaki beki mmoja tu anavyoshambuliwa mbele anabaki forward mmoja tu.
Huu mfumo unaitwaje.?
Huu mfumo ndio wenyewe kwa kupaki bus.Kaka Chelsea wanacheza mfumo wa 3-4-3, huo mchezo unabadirika kulingana na mazingira, kama tunashambuliwa kwa shabulizi la kawaida na la mpito, basi mfumo unakuwa 4-3-3, beki zinakuwa nne, Alonso Kushoto, kati Luis na Cahil na kulia ni Azip, na katikati kunakuwa na Matic, Kante na Victor moses na mbele kunakuwa na Willian, Hazard na Costa
Tukiwa tunashambuliwa kwa muda mrefu na timu inazidiwa basi mfumo unabadirika na kiwa 5-4-1, nyuma kunakuwa na beki tano, Luis, Azip, Cahil, Alonso na Victor moses, katikati tunakuwa na Matic, Hazard, Kante na Willian na mbele anabaki Costa kusubiri counter attack.
Tukiwa tunashambulia kwa kujihami, yaani mechi iko 50:50, mfumo unakuwa 3-4-3, na tukiwa tunatawala mechi basi mfumo unageuka na kuwa 2-3-5 yaani hapo lazima ufungwe, nyumba anabaki Azip na Cahil, kati anasogea Luis, Matic na Konte mbele kunakuwa na Victor, William, Hazard, Costa na Alonso
Huo ni mfumo mzuri sana, sema unahitaji wachezaji wepesi, inahitaji wachezaji wenye uwezo wa kuhold Mipira na wachezaji wenye skill zakufunga
3 - 5 - 1 au 3 - 4 - 3Naomba mniambie Chelsea anatumia mfumo gani, maana anavyoshambulia nyuma anabaki beki mmoja tu anavyoshambuliwa mbele anabaki forward mmoja tu.
Huu mfumo unaitwaje.?