Mkuu huyo mikel obi ni mzito kama mjamzito, natamani wampige bei hata jana, kama vipi akacheze china tu, au kwa wazee waliokata ringi marekani.Ndio maana anatakiwa awe DM tu na pacha wake awe huru kukimbia huko Na huko lkn yeye abaki km DM tu na akifanya hivyo atafanya vzr....
Ndio maana anatakiwa awe DM tu na pacha wake awe huru kukimbia huko Na huko lkn yeye abaki km DM tu na akifanya hivyo atafanya vzr....
WILLIAN AND DAVID LUIZ ni wapigaji wazuri wa free kick, hilo toa shaka mkuu.Mimi ni mwanachelsea mzuri lakini chelsea hatuna vitu vingi mnoo kiasi cha kunifanya nione timu zote epl ni vibonde wa chelsea, tulivyo miss ni hivi
1.hatuna wapiga freekick wazuri wakutosha maana kwa timu kama yetu haiwezekani kufika nusu ya msimu hakuna goli la freekick hata moja so disappointed enzi hizo timu ina drogba,balack,lampard na wengineo ilikuwa ni kosa kumfanyia foul mchezaji wa chelsea karibu na box maana ni lazima uadhibiwe
2.long range shoot goals from midfield yaani sikuhizi tumekuwa wazee wa soft goals kama arsenal88 maana hakuna mtu anaepiga vitu hatari unakuta msimu tuna magoli kama 10-15 tuu kati 100 ambayo ni ya nje ya box hapo tumechemka
3.accurate crosses, hivi inakuaje tunafika december hatujafunga goli la header??? Wakati tunafoward mrefu kuliko hata drogba?? Mechi ya west bro ilipigwa cross hatari moja tuu meche zingine hata sikumbuki, hapo napo tumechemka
4.chelsea hatuwezi kulazimisha mtokeo ya mechi kitimu na badala yake tunategemea mtu mmoja mambo yakishindikana kitu ambacho hakikuwepo kabisa chelsea, kumbuka kipindi tunamtoa napoli kila mtu alichachamaa hadi tukashinda lakini leo wapi, westbrom anakuja anakaza lakini timu inaponea ushindi mwembamba come on chelsea
Wamefunga hata moja??? Hilo ndo tatizoWILLIAN AND DAVID LUIZ ni wapigaji wazuri wa free kick, hilo toa shaka mkuu.
Mkuu ushamsahau willian mara hii???? Last season kafunga sana hizo free kick.Wamefunga hata moja??? Hilo ndo tatizo
I AM aEMkuu tukutane huko, huku ni game after game. Jumatano tena
Nilidhani kama tumeanza kuvimba kichwa.. kumbe kwa sasa timu hizi ni kujilinda tu ili wasifungwe
Hata hivyo hiyo si dawa.. tunatoboa tu
Katika pitapita zangu mtandaoni niliona habari kuhusu how to stop 3-4-3 chelsea formation walichokisema ni kuwa
1.unashambulia zaidi kupitia upande wa alonso ndo yuko weak mfano gemu ya man city
2.unaweka mshambuliaji mwenye akili upande wa moses maana huyu sio beki asilia kwa hiyo muda mwingi anakuwa out of position mfano gem ya spurs aliwekwa son na baada yule dogo n'kodou
3.unajaza viungo katikati na kukaba kwa nguvu kila chelsea ikiwa na mpira mfano mechi ya spurs,man city, na westbrom yaani unahakikisha chelsea haiflow
4.unafanya marking ya nguvu kuzuia washambuliaji wote wa3 mfano sunderland
5.unawatawanya mabeki wa3 hivyo wanajikuta hawana utulivu wa kutosha na kujikuta wanahangaika kukaba hasa mashambulizi ya kushtukiza mfano mechi zote kuanzia ya spurs
Kufanya yote haya inawezekana, swali linakuja utaweza kutimiza hayo yote kwa dakika zote 90??? Aliyejitahidi kidogo ni westbrom ndo maana conte aliswitch formation mara 2 ili kupata matokeo kwahiyo kumbe kuizuia chelsea sio mchezo mchezo hata kama mbinu unazijua!!!
Ila puchettino mungu anamuona maana yeye ndo alianika hadharani udhaifu wote wa chelsea haijalishi alishinda au hakushinda na conte akienda na 3-4-3 pale white lane ataona atakachofanywa amuulize morinho
‘Yeah, I think he’s fit,’ Conte reported. ‘He trained today with us.Anaanzia benchi...
Mabadiliko anaweza kufanya baadhi ya sehemu lkn si kwa timu yote. Unajua anachofanya Conte anataka wachezaji wote wawe na uzoefu kwa hiyo lazima awape nafasi ya kucheza hasa ukizingatia hii December tunacheza Mara kwa Mara.Wadau, nimesoma kwenye website ya club (www.chelseafc.com) kwamba kocha Conte anatarajia kufanya mabadiliko ya kikosi kitakachocheza na Crystal Palace hii leo ili kuwapumzisha baadhi ya wachezaji. Huyu baba asituharibie furaha yetu, kumbuka alivyobadili kikosi akawaingiza kwenye first 11 madogo wasio na experience ya kutosha hatimaye tukafungwa na Westham na kutolewa kwenye kombe la ligi mwezi wa 10.
Hii mechi itakuwa ngumu, ikumbukwe kwamba ni London derby!
Mdau mimi mwenyewe nimeingiwa na wasiwasi sana na hasa nilipocheki ile mechi waliyofungwa na man u hao palace walicheza vizuri sana kilichowaharibia ni kutaka droo hivyo ninadhani conte anatakiwa aingize winning team ambayo anamhusisha hazard na matic maana hawa wachezaji hawakucheza mechi zilizopita.Wadau, nimesoma kwenye website ya club (www.chelseafc.com) kwamba kocha Conte anatarajia kufanya mabadiliko ya kikosi kitakachocheza na Crystal Palace hii leo ili kuwapumzisha baadhi ya wachezaji. Huyu baba asituharibie furaha yetu, kumbuka alivyobadili kikosi akawaingiza kwenye first 11 madogo wasio na experience ya kutosha hatimaye tukafungwa na Westham na kutolewa kwenye kombe la ligi mwezi wa 10.
Hii mechi itakuwa ngumu, ikumbukwe kwamba ni London derby!
Hata kama siyo mabadiliko ya timu nzima, akifanya kama alivyofanya kwenye league cup dhidi ya Westham tayari ana-create weak points ambazo zinamnufaisha opponent, hiyo ndiyo hofu yangu mkuu! Kama ni mabadiliko aweke wachezaji wengine walio na uzoefu wa kutosha.Mabadiliko anaweza kufanya baadhi ya sehemu lkn si kwa timu yote. Unajua anachofanya Conte anataka wachezaji wote wawe na uzoefu kwa hiyo lazima awape nafasi ya kucheza hasa ukizingatia hii December tunacheza Mara kwa Mara.
Nadhani Matic na Hazard watakuwemo kwa kuwa wamepumzika walipokuwa majeruhi. Hisia zangu zinanituma kuwaza kwamba watakaopumzishwa ni kati ya Luiz, Kante, Cesar Azip na Moses.Mdau mimi mwenyewe nimeingiwa na wasiwasi sana na hasa nilipocheki ile mechi waliyofungwa na man u hao palace walicheza vizuri sana kilichowaharibia ni kutaka droo hivyo ninadhani conte anatakiwa aingize winning team ambayo anamhusisha hazard na matic maana hawa wachezaji hawakucheza mechi zilizopita.
Pia tukumbuke hawa jamaa walituchapa msimu uliopita kama sijakosea hivyo si wamchezochezo.
hao hawezi kupumzishwa hao ndiyo moyo wa chelseaNadhani Matic na Hazard watakuwemo kwa kuwa wamepumzika walipokuwa majeruhi. Hisia zangu zinanituma kuwaza kwamba watakaopumzishwa ni kati ya Luiz, Kante, Cesar Azip na Moses.
kati ya hao hamna atayepumzishwa,hao ndiyo moyo wa chelseaNadhani Matic na Hazard watakuwemo kwa kuwa wamepumzika walipokuwa majeruhi. Hisia zangu zinanituma kuwaza kwamba watakaopumzishwa ni kati ya Luiz, Kante, Cesar Azip na Moses.