Kilichowafanya kuwa chini ni vichapo tu kwahivyo ni wakati wetu nasi kuendeleza kichapo.Ila tutegemee mchezo kua mgumu sn kwasababu hawa Sunderland ndio wanaburuza mkia sasa wako Na hali mbaya sn na wao ili waokoke huko chini lazima waanze kupambana kufa Na kupona Na uzuri Conte Na benchi LA ufundi wanaijua hii hali vzr sn......
Malafyale... VP tena, mbona kama umepagawa na kabumbu la The-BluuzChelsea sio One Man Team wakati almost 70% ya points zenu zimeletwa na Costa?
Yy akiumia kuna team pale?
Mane akiondoka Coutihno atakuwa karudi sababu ana anza leo mazoezi mepesi na Dec 30 na Man City anacheza!
Toa mtu ingiza mtu!
Willian mzuri mkuu. Ni bonge la playerjamani kutokuwepo kwa hazard leo kunanifanya niwe na wasi wasi, kwani wilian simwamini sana
Leave by faith and not feelings...I have feelings kuwa leo Chelsea anapigwa..
UmenenaaaaaaaaaaConte hufanyia kz alichokiona kila baada ya game. Sunderland wanaenda kua attacked mwanzo mwisho Ata watumie mbinu gani yani watakambizwa Leo vibaya sn...... Na ushindi Leo ni lazima kwasababu Conte ameona msimamo Wa ligi Na kile alichokifanya Gunners amekiona sasa ili kujiweka ktk nafasi nzuri Leo lazima apige mtu alafu January fixtures yetu ni ngumu sn. Maana ndani ya Jan tuna game kubwa 4 tuna Spurs mapema tu na tuna LFC, Leicester Na Arsenal. So ili kuwa acha hawa lazima hii December tufanye vzr then ikifika jan unakua umewaacha mbali Ata km unataka nao sare tu Basi inakua pouwa.
AhaaaaaaaaaahTumeamua kwa dhati kabisa sisi mashabiki wa chelsea kuwa kwa sababu tumebaki kuangalia game zetu wenyewe tu basi tuwe tunagawana timu pinzani mfano leo chelsea na sunderland,mashabiki kadhaa watakuwa sunderland na wengine chelsea,mimi nimepata bahati ya kubakia chelsea ila tumeweka sheria kali kama umechaguliwa kuwa timu pinzani chelsea ikifunga goli usishangilie,ukijisahau ukashangilia faini $ 50,hii ni kutokana na mashabiki wa Liverpool,man utd,arsenal na man city kususia game kutazama game za chelsea kwa kigezo kuwa chelsea wao kila game ni fainali lazima washinde.
Tunza haya maneno yako hadi saa sita usiku. Naamin yatakurudiaI have feelings kuwa leo Chelsea anapigwa..
Mim nitabaki chelsea. HaaaaaaaaaaTumeamua kwa dhati kabisa sisi mashabiki wa chelsea kuwa kwa sababu tumebaki kuangalia game zetu wenyewe tu basi tuwe tunagawana timu pinzani mfano leo chelsea na sunderland,mashabiki kadhaa watakuwa sunderland na wengine chelsea,mimi nimepata bahati ya kubakia chelsea ila tumeweka sheria kali kama umechaguliwa kuwa timu pinzani chelsea ikifunga goli usishangilie,ukijisahau ukashangilia faini $ 50,hii ni kutokana na mashabiki wa Liverpool,man utd,arsenal na man city kususia game kutazama game za chelsea kwa kigezo kuwa chelsea wao kila game ni fainali lazima washinde.
Yaani hapo umaanisha kinyume chake, safi sanaI have feelings kuwa leo Chelsea anapigwa..
Ntakukumbusha.Tunza haya maneno yako hadi saa sita usiku. Naamin yatakurudia
Haya bhana. Tutaona by saa 6.Yaani hapo umaanisha kinyume chake, safi sana
Chelsea kila mechi fainal
Ni kweli sidhani kama itatuathiri kutokuwepo kwa hazard,tumekamilika kila idarawe are going to show the world that Chelsea is a team and not an individual, we are going to play without hazard and win the game.
mark my words