kwi kwi kwi kwi.
naona mmepata nguvu sio ya kurudi kwenye jukwaa lenu ha ha ha ha.La la la la laaaa, Le le le le leee, Lah lah lah lah laaaaaaah
Bora msheherekee leo maana matanga yalizidi msisahau kumaliza vinywaji maana hii leo ndio mwisho wenu ndio highest level mliyofika msimu huu kwa kuwaburuza Villa kwa magoli saba ni historia kubwa sana almost 45 years hawajaweza kuadhibiwa namna hii. Jipongezeni kwa mara ya mwisho.
BTW pelekeni sms kwa Masanilo aka Kikojozi na Taliban supporter ... ... msiwasahau kwenye sherehe ya mwisho wa mwaka almanusura wawe Invisible.
so did Birmingham.villa leo wametia aibu.
hahahaha nimekusoma jirani.Teh teh...Jirani nini tena?....Kaa kimya tu....Mkianza kujibizana kwa staili hii inakuwa ngumu kutofautisha.........................
jamaa hata ukishinda unakuwa stressed ,jaribu ku-enjoy ushindi wako.
You're missing the big picture! I ain't stressed my brother, I'm enjoying my drink for the win!jamaa hata ukishinda unakuwa stressed ,jaribu ku-enjoy ushindi wako.
Teh teh...Jirani nini tena?....Kaa kimya tu....Mkianza kujibizana kwa staili hii inakuwa ngumu kutofautisha.........................
duh bonge la Starehe, kwa waliosoma Hesabu nadhani wanaijua hii topic
Sequence and Series, kwa Kiswahili swali lilikuwa linasema andika namba inayofuata
5,7,. (Pompey (5), Villa (7), man(?) )
Mmh, Manu tutawapiku tukiwashinda tutakapopambana wao. Kina Wenge Muzica, nendeni Bagamoyo.
Masanilo kastaafu!