Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,718
- 6,979
Conte is master technicalMechi nane hajapoteza,wanapnda Wote wanashuka wote,kosa la timu pizani wanaiga mfumo,tot ulimtokea puani nilijua man city alijifunza,kaiga mfumo naye umemtokea puani,timu pizani za Chelsea zinabidi kujipanga msimu huu
Manne coz tumefunga yote sisiWakati napost vile yalikuwa matatu mkuu.
Najua pia...Manne coz tumefunga yote sisi
Mie hapa nashangilia Real Madrid nawe je?
Wooooow [emoji87] mie pia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] leo umefurahiiiiiii sio kwa malikes unayonimwagia...lolNawaombea mabaya...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] leo umefurahiiiiiii sio kwa malikes unayonimwagia...lol
Kwenye neno Quick reply kushoto kuna kialama cha duara ukigusa apo zitakuja alama mbalimbali nadhani alama ya picha unaijua...utapload picha kirahisi ilimradi tu iwe kwenye .jpg formatNdugu wanachelsea naombeni mnielekeze namna ya kukopi picha kutoka galley kubandika jamii forum nimepata picha nzuri nataka kushere
Witaita mamaHao ndo wanafuata