Ule upande atacheza Willian huyu Ivanovic na Terry wanaangalia beki Wa kati wale watatu. Kwasababu sasaivi Ivanovic hawezi kucheza mpira Wa kasi hivyo kwahiyo inabidi abaki ktk wale beck line watatu ili asikimbie sn. Ata hivyo hatocheza ktk nafasi ya Luiz atakua pembeni kwa Azp.
Nafasi ya Moses inaweza kuzibwa na watu wengi sn... Ata Pendro mwenyewe then kule mbele kwa pendro akakaa Oscar au Nath Chalobah
Ila Mentor ata Hazard kiwango chake kimerudi vzr... Na hii ni kwasababu ya kupunguziwa majukumu ya ukabaji uwanjani. Jamaa amekua vzr sn
Hii timu ilipata goli la ngama jana chacha imefufuka hata wale mashabiki koko nao fufuka, khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mkaage hapa kuchangia hata mnapofugwa bana. Chacha raha itatoka wapi kama mnajificha. Hongereni kwa ushindi wa taabu ooops mwembamba, lakini ... ..... .. nichalimieni Invisible et al.
Kazana kuomba
Mind the gap! PeriodHii timu ilipata goli la ngama jana chacha imefufuka hata wale mashabiki koko nao fufuka, khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mkaage hapa kuchangia hata mnapofugwa bana. Chacha raha itatoka wapi kama mnajificha. Hongereni kwa ushindi wa taabu ooops mwembamba, lakini ... ..... .. nichalimieni Invisible et al.