Chelsea FC (The Blues) | Special Thread


BLOODIED ... Tommy Smith
treats his busted hooter​

Ashukuru mungu kwa sababu alikuwa Malouda tu, pua ingemng'oka. Come on Chelsick! ... ... ... is this what we talk about fair play?​


 

jingoist

jingoist has no status.
Junior Member


Posts: 2
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 0


Unafahamu maana ya kuwa blacklisted na credit agency?
 
jingoist

jingoist has no status.
Junior Member


Posts: 2
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 0


Unafahamu maana ya kuwa blacklisted na credit agency?

Hapa suala ni kuwa hii habari imeandikwa October 26, 2010 maana yake ni ya kizushi kwani bado tuna miezi saba kufikia hiyo tarehe.
 
Mnachezea kichapo tu... karibu tu mana misibani hakuna kuomba kulia ww lia tu tutajua unaundugu na wafiwa!!🙂
 
leo je wadau niaje? naomba kujiunga katika thread hii

Karibu ktk Ze Bluez thread; leo km kawaida tunatarajia ushindi dhidi ya Villa.
Wanaochonga kimpango wao maana hawalipii kodi wakibofya kiibodi zao
 
Ndo hivyo uwe unaupdate hata mkifungwa mana leo kichapo ndo halali yenu dak 40 hapa bado sare
 
Chls wanabebwa hapa kwa penalt ngoja tuonee lampard anashinda tena 2-1
 
naona lampard alipiga pen kama vile liwalo na liweeeeeeeee
 
Dah kapiga nduki mbaya hata kipa kaifwata lakini kaogopa kuucheza vyema!! Half time now vijana wa Villa park wakirudi natumai wataonesha mabadiliko
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…