Teams zitakazo wania ubingwa na CL spot niTulia bandugu, Klopp anaingiza sindano yenye dawa ya kuiponya Chelsea. Usikate tamaa mapema. Itisha Enzo na Ntuzu mfanye maombi. Mna dakika 50 za maombi lakini kwa hii mziki wa majogoo ya Malafyale na jinsi ambavo mnacheza, nategemea Sturridge ataweka bao moja au mbili ili kuweka spices kwenye mboga.
Conte alisikia kilio chako na alikuletea chaguo lako, aliwaingiza watatu kwa mpigo, rakini siku ya kufa nyani, miti yote inakuwa na miba, unapokamata, unadungwa mwiba.Conte anatumia akil gan kumuweka fab nje nakumchezesha matic
Sasa sijui hii tuite kupatwa kwa Chelsea au tetemeko kwa Chelsea?watani wamepakatwa leo, naona wamekuwa wapole sana.
Hongeleni kwa kuludisha bao moja. Nimeona Majogoo ya Malafyale yameanza kumegua daraja, yule amedonoa hapa, yule amedonoa pale na kuliacha daraja "bovu" la Ntuzu na nyufa.Diego Costaaaaaa!!
Liv 2
Che 1
Daraja limevunjika.
Ila Diego yko vzr sana msimu huu!
Umesahau au wewe ni mpya?Bingwa Europa League ana-qualify moja kwa moja kucheza UEFA Champs kwenye makundi. Siku hizi ligi kuu England hakuna timu yenye uhakika kumaliza ligi ikiwa ndani ya top 4!
Link Leicester City, Special ThreadTeams zitakazo wania ubingwa na CL spot ni
Man City
Man U
Majogoo
Arsenal
Totenham
Wengine mjipange tu kwa msimu wa 2017-18