Ng'wanza Madaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2008
- 2,268
- 338
Kuna sehemu ya kumuweka mtu kama hutaki kuona posts zake sasa kwanini unahangaika na posts zangu?Utu uzima dawa.It's you who need to grow up, you juvenile ba....d! Unashinda masaa 24 hapa JF ukiweka posts zako za udaku, mwanaume mtu mzima na heshima zake hawezi kuwa na muda mchafu kama huo. Ukitaka kujua kwamba udaku ni kwa ajili ya wapuuzi kama wewe angalia nani anachangia/anajibu hizo posts zako za kidaku hapa JF, uko peke yako na yule mdaku mwenzio (tikiti maji)....only two people! That explains a lot about you! Get a life, you scumbag!
Mwana achana na hawa wanakitchen party wambea wambea tu wanahaha kutafuta mabwana hawana lolote hapa.It's you who need to grow up, you juvenile ba....d! Unashinda masaa 24 hapa JF ukiweka posts zako za udaku, mwanaume mtu mzima na heshima zake hawezi kuwa na muda mchafu kama huo. Ukitaka kujua kwamba udaku ni kwa ajili ya wapuuzi kama wewe angalia nani anachangia/anajibu hizo posts zako za kidaku hapa JF, uko peke yako na yule mdaku mwenzio (tikiti maji)....only two people! That explains a lot about you! Get a life, you scumbag!
Mwana achana na hawa wanakitchen party wambea wambea tu wanahaha kutafuta mabwana hawana lolote hapa.
We ndo unazama mzimzima kwenye kumi na nane za mtu mzima.Hebu tuonyeshe upi umbeya uliowekwa hapa? Posts zote zipo hapa tangu alifu unless unakimbia kivuli chako. Then twambie nani alikutongoza?
We ndo unazama mzimzima kwenye kumi na nane za mtu mzima.
Hebu tuonyeshe upi umbeya uliowekwa hapa? Posts zote zipo hapa tangu alifu unless unakimbia kivuli chako. Then twambie nani alikutongoza?
tena wewe ndo ***** kabisa.kutwa unaongelea mambo ya CHELSEA..inakuhusu nini
Mkuu mipasho waliianzisha mapema baada ya kutangaza ubingwa mapema wakasahau kuwa mpira unadunda tangu November walitangaza ubingwa na kuanza kuzipondea timu zingine esp.Arsenal na sasa wanashangaa kuona hao waliokuwa wanawapondea ndo wana asilimia kubwa ya kuchukua ubingwa.Hili jukwaa limeanza kuwa kimeo, kumejaa mipasho tu utafikiri sio jukwaa la soka
Yaani taabu tupu ndugu yangu, ile maana nzima ya majadiriano ya soka inapotezwa kabisa na hawa wadaku kutoka Arsenal. Sijui kwanini hawapost huu udaku kule kwenye jukwaa lao?!! Sisi watu wa Chelsea tunachotaka ni maongezi ya soka tu, nothing else!Hili jukwaa limeanza kuwa kimeo, kumejaa mipasho tu utafikiri sio jukwaa la soka
Hivi nisaidieni kulikoni vitambaa vyeusi manake hata mechi za jana nazo niliona hivo hivo
Yaani taabu tupu ndugu yangu, ile maana nzima ya majadiriano ya soka inapotezwa kabisa na hawa wadaku kutoka Arsenal. Sijui kwanini hawapost huu udaku kule kwenye jukwaa lao?!! Sisi watu wa Chelsea tunachotaka ni maongezi ya soka tu, nothing else!