Nonda naomba niijue timu yako maana kutwa kutukebei tutajie na we yako tujue uko wodi ganiWewe vipi?
Huu ni msimu wa Ze bluuz kutetea ubingwa wao. Msimu ndio umeanza sasa. Hii ni January. Vipi weweee?. Yokohama nafasi yake ni 1 au 2.
Hakuna kukata tamaa, come on Yoko!
Kuna ile ndugu ya Yaya ilikuwa inasema: Mind the gap!
Wewe hukuona cech pia alivyotunguliwa na majogoo ya Mafyalale kafalale. Kocha wa majogoo alifurahi kama ameshinda mechi.
Nonda naomba niijue timu yako maana kutwa kutukebei tutajie na we yako tujue uko wodi gani
Mimi timu zangu ziko kwa mafungu. Ni nyingi , ambazo haziko kwenye orodha ni Yokohama, Man City, Man United, Chenga twawala-wapigwa mizinga, Majogoo, Orodha ya timu zangu zinakuwa updated kila msimu, Za msimu huu uliza Ntuzu, Mentor, Everlenk watakusaidia.Nonda naomba niijue timu yako maana kutwa kutukebei tutajie na we yako tujue uko wodi gani
Bia zitakuwepo nilete waliaji?Naomba turubai waungwana jirani kafiwa.
2-0