Katika soka kuna wachezaji ktk timu ambao ni ngumu kuwabadilisha kwa pamoja, na hii hususani kwa walio ndani ya Kikosi cha kwanza (First Eleven). Wakiwa hata watatu tuu wakawa ni wahujumu basi kocha lazima apagawe, na kumbuka bora uwapange hao ili walau wataweza kucheza huku wakijifichaficha kwamba wasionekane wanahujumu club, ukiwapa vijana wengine ndo waraboronga zaidi pia itajengeka picha kwamba kocha ana bifu na wachezaji.Hivi kwa nini Mou hakuwaamini wachezaji wengine hasa vijana badala yake wale waliomsaliti na akawafahamu ndo hao hao walikuwa na uhakika wa namba kwake!
Kwa sasa wakati unasubiri mood iwe nzuri angalia video hapa:Aya bhana Nonda nashukuru.
Abrahamovich amekuvuruga kwa mkichwa?
Hujui kuwa Chelsea ni mali ya mafiaso wa kirusi?
Unasema hauko "pouwa"?
Ndio sababu ya kuja na vihoja uchwara?
Nitakusubiri utakapopata mood nzuri.
wacha nikuombee.
Ee Mola muumba mbingu na ardhi patia hii bandugu etu mood ile nzuri, mood ile safi, mood ile inang'ara na epusha yeye na mood ya mourinho".. aameen.
Nonda siko ktk mood nzuri ya kujadili hoja uchwara Mkuu....... I do respect you so much in your comments which you have been posting here. Nikuombe kidogo Mkuu nipe break kidogo.......
Siku nikiwa powa niite tujadili mambo uyatakayo.
Asante sn
Aya bhana Nonda nashukuru.
Katika soka kuna wachezaji ktk timu ambao ni ngumu kuwabadilisha kwa pamoja, na hii hususani kwa walio ndani ya Kikosi cha kwanza (First Eleven). Wakiwa hata watatu tuu wakawa ni wahujumu basi kocha lazima apagawe, na kumbuka bora uwapange hao ili walau wataweza kucheza huku wakijifichaficha kwamba wasionekane wanahujumu club, ukiwapa vijana wengine ndo waraboronga zaidi pia itajengeka picha kwamba kocha ana bifu na wachezaji.
Guus hiddink ametua England ready to join Chelsea
Pole sana Mkuu najua jinsi unavyompenda Morinyo hadi ulikuwa blind hata akikosea,Chelsea ilipofikia sasa Morinyo sio kocha anayewafaa ndio maana Roman amemvumilia akashindwa.Why baada ya kuchukua ubingwa akaongezewa mkataba wa miaka 4 lakini amefukuzwaMara nyingi hua nakuona unotoa hoja za mashiko lkn ktk hili naona unaongea tu km wewe binafsi una chuki tu na Mourinho.
Km Chelsea wasinge muhitaji Mourinho basi asingeondoka Madrid kwasababu aliondoka Madrid si kwa kufukuzwa.
Guus hiddink ametua England ready to join Chelsea
ndo imeshatokea hiyo. hakuna namna tena
Mkuu ni shida.....
Baada ya Mourinho kufukuzwa baadhi ya wachezaji wamesema wazi kutaka kuondoka na kuachana na Chelsea na soccer la Uingereza kwa ujumla..... Hii hali itaighalimu sn timu.
ndo wameamua hivyo. ngoja tuone huyo atakaye kuja ataleta nini kipyaHawaja tenda haki kabisa
How Jose aliwaacha hao wachezaji hadi wakafika stage hiyo,siku zote ukimzingua hakuachi.Pepe,Casilas,De Bruyne,Lukaku wanamjua vizuri JoseNamuunga mkono Mou aliposema ana-feel betray hapa naona walikua wanacheza karata kama za Dortmund
Ngoja tuone cabinet wanachokiwaza sasa
Hawaja tenda haki kabisa
ndo wameamua hivyo. ngoja tuone huyo atakaye kuja ataleta nini kipya
How Jose aliwaacha hao wachezaji hadi wakafika stage hiyo,siku zote ukimzingua hakuachi.Pepe,Casilas,De Bruyne,Lukaku wanamjua vizuri Jose
huyu Hiddink si alikuwa kocha wa Uholanzi auHakuna jipya tena kwa hizi tetesi za Hiddink
kwa BR ndio walitenda haki?!
huyu Hiddink si alikuwa kocha wa Uholanzi au
teh teh mbona kafanya hivyo tayari bado chelsea sasaAlitaka kuishusha daraja timu ya taifa ya uholanzi...teh teh teh hana jipya.