Mtu ingine ingeleta hii picha ,ungelalamika kwa wanamtukana Mou.Mmefurahi .....
Haya picha hii sasa ongeza furaha....
Vuzuri kuwa bado una "sense of humor" ingawaje kwa ndani na kwa moyo ni tanuri la kuokea pizza. Au ni boiling water?
Mtu ingine ingeleta hii picha ,ungelalamika kwa wanamtukana Mou.
Picha inaonesha Mou amegeuka Moureen. Nini ujumbe wako?
Unatafuta Ugomvi kutoka kwa Enzo au unakubaliana na Root kuwa Mou akafanye kazi za kwa jiko.?
Utakuwa umefurahi sana. Wewe ulikuwa unatazama mechi au ulikuwa unamtazama Mourinho tu?Leo nampiga Chelsea kwake
Ndugu Pakua picha hizo, tuongeze furaha.Teh teh teh teh Nonda mi niko
Pouwa kabisa.
Mnamtukana Mou Mara nyingi tu umeona nasema kitu?
Nimetuma picha kukusaidia wewe ufurahi au niongeze ingine
Mimi nilipata ujumbe "jaribu tena baadae". Nilijaribu sana. Nilikomalia kulinda kura yangu. Walikuwa wanatoa muda ili wenye jukwaa wakimbilie darini.Makubwa aiseee!!!!!
Lini bandugu?We will be back...!
Leo umekuja kwetu tukija kwenu mtaacha kunitukana? The Magnificent
Hii ni aibu mpaka Wacha1 leo katuonea huruma?
Hivi ndo mungiki brother eeh ?
Hivi ndo mungiki brother eeh ?