Ntuzu, Mentor, Root, KalouDude i bet u r the happiest man on earth ryt now, umefurahi kweli!!! Haya mapito tu we will bounce back very sooooon
Morinho ni mbwa, inabidi aondoke tu huyu jamaa ni mk..... kabisa....
Hafai hata wanaomshabikia hawafai pia.... hivi kabisa chelsea ndio iwe ya 15...
Tunatoka uefa, huku napo tunatoke....
Abro kubali hasara na umtimue huyu mbwa
Hahahaaaa....
Hivi ni ENZO kweli aliyeandika "bai bai Mou"?Umebwaga manyangaπ±π±π±π±