1. Tactical decision ya kocha...hata Oscar yuko fit ila hata benchi hakuwepo. Nionavyo mimi kwa kuwa Costa ana local ban na Remy juzi haku-impress vyema...atamtumia Falcao jumamosi kwenye mechi na Southampton. Naamini ndivyo atakavyofanya kwa Oscar.
2. There is something he sees that we don't. Yeye ndo yupo nao mazoezi..day-in-day-out! Sisi tunaona kwenye mechi tu. Let's wait and see.
3. As for JT (labda jibu ndo hilo hilo la Ivanovic). JT hawezi kuondoka Chelsea labda kuje kutokea kitu kingine mbeleni, kwa sasa haondoki. Ingawa naungana mkono na wewe...ningependa arudi tena defence tuone!
Swali nimemuuliza Mentor nakujua siku zote huwa hujibu maswali, maswali 3 hujajibu hata moja naona nawe umeongeza maswali mengine mawili
Mbona BD kaivurunga?
Sijibu kwasababu mnauliza maswali yasio kua na maana. Post yoyote ata km sijaulizwa Mimi nikiikuta hapa naijibu tu.
Kumbuka BD finances zao hazikuwa kama zetu
Swala sio finances.... Kloop kaiharibu BD. Bd ya leo sio sawa na ile ya mwaka 2011 na 2012.
Unanifurahisha bro..unafanana sana na Mourinho!
Kumbuka walikuwa wanauza wachezaji wao wazuri sababu hawakuwa na hela..
Sisi tuna kila kitu ila matokeo unayajua
1. Tactical decision ya kocha...hata Oscar yuko fit ila hata benchi hakuwepo. Nionavyo mimi kwa kuwa Costa ana local ban na Remy juzi haku-impress vyema...atamtumia Falcao jumamosi kwenye mechi na Southampton. Naamini ndivyo atakavyofanya kwa Oscar.
2. There is something he sees that we don't. Yeye ndo yupo nao mazoezi..day-in-day-out! Sisi tunaona kwenye mechi tu. Let's wait and see.
3. As for JT (labda jibu ndo hilo hilo la Ivanovic). JT hawezi kuondoka Chelsea labda kuje kutokea kitu kingine mbeleni, kwa sasa haondoki. Ingawa naungana mkono na wewe...ningependa arudi tena defence tuone!
Unanifurahisha bro..unafanana sana na Mourinho!
Swala sio finances.... Kloop kaiharibu BD. Bd ya leo sio sawa na ile ya mwaka 2011 na 2012.
Hata Jose kaiharibu Chelsea sio ile ya 2005
Mourinho ni very smart kujibu maswali na huwa hakwepi swali hata moja
Mbona mwamuita domokaya au mropokaji? Kumbe ni smart eeeeeh? Mnakuja kumsiliba kimtindo lkn ukweli mnaujua kua jamaa ni smart...... Safi sn kwa hilo ndio maana Mimi nampenda kwasababu jamaa yuko smart.
Angekua ameiharibu Chelsea sasaivi tunavyoongea angekua hayupo.