Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,826
Hahahaha! Kawaida, ndio mpira....ahsante. Ukisema Saha angefunga penalty maana yake kunakuwa hakuna umuhimu wa kipa, hayo ni matukio ya mpira kama amabavyo refa amwemwachia Fabreagas aliponawa mpira waziwazi.
Hahahaha! Kawaida, ndio mpira....ahsante. Ukisema Saha angefunga penalty maana yake kunakuwa hakuna umuhimu wa kipa, hayo ni matukio ya mpira kama amabavyo refa amwemwachia Fabreagas aliponawa mpira waziwazi.
Kama kawaida yako,kila tukishinda lazima uje na malalmiko kwa marefa🙂🙂...Halafu kwa nini huwa unakuwa mzito japo kusema hongereni Arsenal kwa ushindi!!!!
Acha hizo mkuu, rudi kwenye post ya kwanza kabisa kama hujasoma nimetoa hongera zenu kule au unataka nirudie x2? Ok HONGERENI SANA wakuu kwa ushindi.Kama kawaida yako,kila tukishinda lazima uje na malalmiko kwa marefa🙂🙂...Halafu kwa nini huwa unakuwa mzito japo kusema hongereni Arsenal kwa ushindi!!!!
Acha hizo mkuu, rudi kwenye post ya kwanza kabisa kama hujasoma nimetoa hongera zenu kule au unataka nirudie x2? Ok HONGERENI SANA wakuu kwa ushindi.
Hapo kwa Fabreagas nilikuwa namjibu Babu Kubwa maana ndio alikuwa analeta history.
tuache tushangilia kushinda nyie mkishinda mnachonga kwanini tusiongee? tukifungwa mnatuambia hakuna kombe tukishinda hamtaki tuwe na matumaini ya kombe? CHELSEA 2 EVERTON 1Tabu ya Zzz Gonaz wakishinda wanaona kuwa mwaka huu adi treble yao, wakifungwa, ona wanavyopondana na kumsiliba Wenger utadhani sio hawa hawa, kudadadeki, kueni na msimamo nyie, msiwe kama ocean tides.
Tehetehe, Ab Tchaz!, Lol...mjomba, salaamu umezipata?, Lol..!, pole mgosiii!
Baeleze mkuu baeleze batalogota benyeweJamaa leo wanachungulia tu ngebe kwishnei. Nilisema tangu mwanzo mpanda ngazi hushuka leo mmeshushwa chini pwaaaaaaaaaa khe khe khe khe
Na akirudi kutoka Dubai anarudi na talaka yake mkononi. Yaani naona ka vile wife wake amezishika talaka mkononi tayari kumsulubu.Kwisha J.Terry
JT hell as king Louis sinks 'em
JOHN TERRY finally showed the strain last night as his blunders gifted Louis Saha two match-winning goals. Chelsea's skipper flies to Dubai today to try to save his marriage.