Kaka hapo umeongea point - watoto walale - saa hizi time mbaya tubaki sisi wazee -
Mafahali wawili - ha ha ha ha - mwaka huu tunaipeleka hadi kwenye wayaa.
Asenali, liva wasubiri mwakani -
Ila kaka Kumbuka UEFA mtoano unanukia - isije ikawa Tia maji Tia maji----
Amna presha kaka wala kisukari, just mark my words; Chelsea na Man Utd kufika nusu fainali ya CL mwaka huu, bila shaka tutanyakua ubingwa mwaka huu wa CL. Wala wapaka upepo wa Hispania wasikupe presha. Ila Barca nataman wakutane na Chelsea aiseeeeeππ‘πLol!
Hongereni wadau hapa.....! Invisible, Mvina, AB -Mwalimu, Peasant, Masa boy et al! Your boys deserved the win.......!ngoja ss tuuguze vidonda kwanza.....!
Yaani unawasifia mafioso? Ahaha aaaaaa kumbe unawabeza Good stuff. Wenyewe wanaona kwamba ndio wameshinda hivyo PL. Subiri in two weeks hapa tutakuwa tunaomboleza. khe khe khe khe
Drog the bar the diver not impressed.
12 goals in 12 matches nikumbushe timu aloilowesha bao hizo!
Kwa hiyo huyu hapa chini ndio role model wenu?
Khe khe khe
Masa wa Nilo
Hongereni kwa ushindi wa j2, mmewaongezea stress ze ganaz!..
khe khe khe khe
Masa wa Nilo
Hongereni kwa ushindi wa j2, mmewaongezea stress ze ganaz!..
Is Torres available mate?
Dakika ya 89 Everton 1 Chelsea 2ππ