Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

waachane nae...kwani Gondogan hawajamuoana, mimi namuona ni mzuri kuliko Pogba...Pogba wa kawaida hana skills za kutisha labda minguvu tu
 
The bluuuuuuuuuzzzz tukumbushane matokeo..
Dk ya 65 mmepigwa 1 matokeo ni 0-1
 
it doesn't matter. mwaka huu jose mourinho atakuwa 'specialist in failure'
 
Trouble at the Bridge.... Tusubiri dakika 10 za Mourinho baada ya 90
 
Chelsea msimu ulopita pamoja na kuwa mabingwa lakini walifungwa magoli 32 na msimu huu tayari wamefungwa magoli 9.

Na Everton hawatomruhusu John Stones kwenda Chelsea.
 
Teh teh... watu wa darajani hali inakuwa ngumu mwanzo wa msimu!!
 
Anyway tutajipanga tu, makosa yetu tunayaona mapema na tutayarekebisha
 
Makosa yalionekana mapema... Timu ikakka nyumaa inatupaa shidaa sanaaa... They let us play in our own third....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom