Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
Twende Jangwani tukacheze Nyumba ya Shetani mwenda wazimu kaingiaje..........mdogomdogo
KTBFFH
PhD ðªðªðªðªðª
Hahahahaaaaaa.........
Poor defence
Hongera mkuu naona umeanza kucheka sasa leo tutapungua humu ila ile red card ni fake 😎😎
Ulikua unatia aibu kuwa nafasi ya 16 😀😀
Kwa nini mwamuzi aliamua kumwacha mwanamieleka Matic kumaliza kipindi cha pili?Hahahahaaaaaa.........
Leo sio " a fake result".Hongereni sana the Bluuuuuz naona ligi imeanza......
Cc Ntuzu MEANDU Mentor leo najua utafufuka na vikatuni vyako ENZO soma kwanza uache kelele Kituko leo usiwe Kituko b5-click njoo dear leo mambo swafiii the say leo usiongee sana Manumbu kesho ulete uchambuzi mzuri kalou duhh!! Leo sichezi kigodoro nimeumia sana ila nakukubali wewe ni die hard fan Kungurumjanja aliendaga wapi? Bantulady ujage na huku basi siyo Yanga tu, Root leo najua hatukohoi Mazigazi nakuona leo umefufuka karibu sana na #AllTheblues big up.......
Mmeanza kulia lia. Terry alikuwa mchezaji wa mwisho, alimzuia jamaa yule nafasi ya wazi ya kutundika bao safi.Asante sn cute b goma ndio limeanza lkn hizi kadi hizi kuna kitu nyuma Yake lkn tutapambana mpk dakika ya mwisho
Hongereni sana the Bluuuuuz naona ligi imeanza......