Chelsea oyeee?, nimeamini Chelsea ni team kubwa sana, kafungwa Arsenal watu kimyaa, kufungwa Chelsea story ya mwezi mzima
ngoja turudi kwenye nafasi yetu tuliyoizoea tunyamazishe kelele
Chelsea oyeee?, nimeamini Chelsea ni team kubwa sana, kafungwa Arsenal watu kimyaa, kufungwa Chelsea story ya mwezi mzima
ngoja turudi kwenye nafasi yetu tuliyoizoea tunyamazishe kelele
Team kubwa kwa kuongea..
Aiseee!!! Bora nyie mpaka muingie dimbani sisi Usajili tu ni homa ya Jiji.......
Kuongea kivipi tena Kamanda?, hebu angalia picha zilizopo juu kabisa ya ukurasa huu ndio unaweza kusema lolote
Nyie mkiitwa timu kubwa na Madrid, Barcelona, Bayern, Man United zitaitwaje.??? A a a a a a a a utani tu usije kuanza kunishambulia bure..
Tumeshawazoea nyie, tangu aondoke mzee wa kununua mechi sijuhi msimu wa ngapi huu sasa mnapita kapa
Katika miaka misimu kumi na tano hii, unapotaja timu kubwa kumi za Ulaya huwezi kamwe kuiacha Chelsea
Haya makelele mwachie ENZO akitoka shule ndo ayapige kwa wewe hapana aisee!!!!........
Aiseee!!! Bora nyie mpaka muingie dimbani sisi Usajili tu ni homa ya Jiji.......
Mdada everlenk, Chelsea na kununu mechi wapi na wapi?, kwanza kocha wetu "The happy one" anaonekana ni mpinzani wa waamuziKumbe!!!! Aiseee ukimjua mwenzio mlozi na wewe pia utakuwa mlozi mlikutana mahali mnaroga pamoja.......haya wenzetu endeleeni kununua na nyie muongoze tena kwa msimu mwingine .....
Jose Mourinho: Chelsea boss names out-of-form playersChelsea oyeee?, nimeamini Chelsea ni team kubwa sana, kafungwa Arsenal watu kimyaa, kufungwa Chelsea story ya mwezi mzima
ngoja turudi kwenye nafasi yetu tuliyoizoea tunyamazishe kelele
Kituko nafasi yenu ni ipi mkuu?Mdada everlenk, Chelsea na kununu mechi wapi na wapi?, kwanza kocha wetu "The happy one" anaonekana ni mpinzani wa waamuzi
muda si mrefu mtabadirisha kauli zenu, mara mtasema tunapack basi, mara mtasema tunacheza mpira usiovutia, amini maneno yangu, baada ya mechi tano tutakaa kwenye nafasi yetu halisi
Jose Mourinho: Chelsea boss names out-of-form players
Chelsea manager Jose Mourinho has named seven first-team players who have underperformed in the club's worst Premier League start in 17 years.
The champions go to West Brom on Sunday after picking up only one point from their first two games.
"I'm not happy with anyone," Mourinho, who also criticised himself, said.
"I'm not happy with Branislav Ivanovic's form, Gary Cahill, John Terry, Cesar Azpilicueta, Eden Hazard, Cesc Fabregas, Nemanja Matic."
Mourinho added: "I'm not happy with my form because I used to get better results than I'm getting now."
BBC Sport - Jose Mourinho: Chelsea boss names out-of-form players