Gwamahala
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 3,925
- 2,328
Hatoki MTU hapa
Time will tell my friend...
Hatoki MTU hapa
Hatoki MTU hapa
Mambo Mkuu?
Hbr za masiku?
Vipi dugu? Umeshajitayarisha kisaikolojia kwa mtanange wa leo?Hatoki MTU hapa
Kituko, wacha vituko!Yeye "the special one" siku zote yupo mkweli na anasimamia kweli yote alichokiongea kina tofauti na wewe ulichokiona kwenye hiyo mechi yetu?, unless hujaiangalia hiyo mechi
Hatoki MTU hapa
Mna Njaa kweliii yaani Pedro kaingia j5 leo uwanjani ? Si mchezo mnafikiri yeye ndo mwokozi wenu labda atafuta aibu ya point 1? Haya kila la heri bandugu.......
Ukiwa professional player ata ukitua Leo manyu na kupangwa lazima ucheze!
So Pedro Ni mtaalamu.
Muzima lkn mamito?
Naomba leo niwatakie Clean sheet ya kwanza kwa ushindi wa 0-0 😀😀😀😀
Hahahah Mtani hutaki tucheze mdogomdogo humu ......Nyumba ya shetani mwendawazimu kaingiaje.....