kwa huu mkikosi haponi mtu
Kama kawaida ya watu wa darajani.
PhD 💪💪💪💪💪
Ndio nini hiyo kiongozi!!
Pedro Hazard Diego
PhD 💪💪💪💪💪
Hahaaa...Pedro amekwisha mbona, Diego ndio kabisa yani..hazard anakamatika kirahisi sana!!
Hahaaa...Pedro amekwisha mbona, Diego ndio kabisa yani..hazard anakamatika kirahisi sana!!
Subiri kipigo cha West Brom sasa, ili uamke vizuri zaidi. Kile Kipigo cha "fake result" umeshakisahau?ENZO akiwa shule mie nalisongesha!
Anyway leo nimeamka pouwa na kauli mbiu yangu ya
PhD 💪💪💪💪💪
Mou amrudishe Dr. Mrembo ili hizi judo na mieleka masters ziweze kupata mori ya kuziona nyavu.Utawaona wanavyocheka na nyavu ndo utajua km wameisha!