Hata ww unajua sasa huwezi yazuia Majogoo yasiwike hapo hapo darajani!Nakupiga
Panic buy alert has been activated!!!
Mnahitaji sare tu na West Brom ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kuanza kutetea mataji yenu kwa msimu huu.tulieni kidogo na sisi tupumue....
![]()
Kwa nini Mou ameanza kuwapenda wachezaji wa Barca? Kwa nini hawachomoi kutoka Real Madrid? Anataka kuachana na ku-pack bus?Mtqchonga sana...he was on our radar too we just didn't publicise it!
Ntuzu,Okay vzr sn.....
Mi nipo kujibu hoja zenu
kwa huu mkikosi haponi mtu
hàmna wachezaji tu hawana match fitness naamini watachanganyia siyo mda
Kwa nini Mou ameanza kuwapenda wachezaji wa Barca? Kwa nini hawachomoi kutoka Real Madrid? Anataka kuachana na ku-pack bus?