Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Lakini sio kwa magoli manne.
Yaani la kwanza timbwliiii wametulia tuu la pili tena la tatu tena na la mwisho timbwliiiii.
Na ni vile muda uliisha leo wangegeuka ase8

Preseason mama haiumiiii..........lol
 
Hahahahaaaa mimi sijasema.
 
Attachments

  • 1437640548505.jpg
    1437640548505.jpg
    31 KB · Views: 68
Mou atahakikisha anawatoa kwenye top four waingie Liverpool

mtaongea yote leo!' kweli nimeamini chelsea ni homa ya jiji, kufungwa tu kwenye pre-season imekua sherehe!' kwa kufungwa tumepoteza point ngapi?!' ............
 
mtaongea yote leo!' kweli nimeamini chelsea ni homa ya jiji, kufungwa tu kwenye pre-season imekua sherehe!' kwa kufungwa tumepoteza point ngapi?!' ............

Hamlitaki Kombe mbuzi!!!!! Bora nyie mpka mcheze iwe homa ya jiji siye kusajili tu hata hatujacheza ni homa ya jiji na mautabiri kibao ya kina sheikh Yahaya......siyo wewe ulitabiri mengi?
 
mtaongea yote leo!' kweli nimeamini chelsea ni homa ya jiji, kufungwa tu kwenye pre-season imekua sherehe!' kwa kufungwa tumepoteza point ngapi?!' ............

Baba ulikuwa hujui tu Chelsea n homa ikipoteza hadi wafungwa gerezan hupikiwa wali watu wanaomba mechi hii ingekuwa ya UEFA na matokeo haya. Ni kweli inauma kufungwa lkn unapopoteza mech km hz kuna kitu unajifunza tofaut na wenzetu wanaoongoza ligi za pre season wanapokuja kwenye EPL UEFA nk wanaanza kuona kocha hafai
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom