Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,826
Draw itakuwa nzuri kwa Chelsea maana wote mtapoteza point, ikishindikana ni bora Arsenal ashinde maana Manure wana kawaida ya kumaliza msimu kwa kasi.
Kikojozi aka Masanilo said:Natanguliza pole kwa kipigo cha Kesho! Hakuna cha Lazy Campbell kumuweza Rooney mara ya mwisho alisababisha penalty kwa huyo huyo Rooney! Poleni sana Fat Arse!
Kama Vermaelen hachezi?
Nilikuwa nalewa shemejio aliponiambia 1-1 pombe ziliisha ghafla na kuanza fatilia mpambano......hadi mwisho 2-1, Kesho 1-1
Kulikuwa na hati hati hiyo...aliumia mechi na Villa
'Campbells inclusion depends on the recovery of Thomas Vermaelen. When the Belgian left the field after 35 minutes of the game at Villa Park, it was the first time his partnership with William Gallas had been broken up in the Premier League this season. Fears that Vermaelens leg was broken proved false and, though his injury is thankfully short-term, he is a major doubt for Sunday. Every effort will be made to fast-track his recovery.'
Lini ulianza shabikia Mafioso Chelsick? Kwani hata hujui unachoshabikia.
Bwabwa1 unafurahisha sana hiyo itakusaidia nini?
Swali ni langu kwamba kama hachezi utabiri wako utakuwa vipi? Maana umesema utabiri wa 2-1 ni kama Verma atacheza.Kulikuwa na hati hati hiyo...aliumia mechi na Villa
'Campbell's inclusion depends on the recovery of Thomas Vermaelen. When the Belgian left the field after 35 minutes of the game at Villa Park, it was the first time his partnership with William Gallas had been broken up in the Premier League this season. Fears that Vermaelen's leg was broken proved false and, though his injury is thankfully short-term, he is a major doubt for Sunday. Every effort will be made to fast-track his recovery.'
ushindi kesho hupo mkuu bila wasi wasi na ni mkubwa tu hata kama varmelen hayupo.Kulikuwa na hati hati hiyo...aliumia mechi na Villa
'Campbells inclusion depends on the recovery of Thomas Vermaelen. When the Belgian left the field after 35 minutes of the game at Villa Park, it was the first time his partnership with William Gallas had been broken up in the Premier League this season. Fears that Vermaelens leg was broken proved false and, though his injury is thankfully short-term, he is a major doubt for Sunday. Every effort will be made to fast-track his recovery.'
Can you put some pictures .......! Thank you Bwa1
ushindi kesho hupo mkuu bila wasi wasi na ni mkubwa tu hata kama varmelen hayupo.