Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

My verdict:

Loftus Cheek ni kama Mikel mdogo. Too many back passes. Ni muoga wa kukaa na mpira. Ni mzito kukaba. Yani kuwa na Loftus Cheek na Mikel in the same team si sawa kabisa. Kama tunataka Loftus abaki basi Mikel aondoke.

Nathan Ake fits more into the midfield role than Loftus. Anacheza kwa kujituma. Anajua ku-tackle vyema na kupandisha timu mbele. With Fabregas (and Oscar) out, huu ndo muda wake wa kuonesha makali yake huenda msimu ujao akapata games zaidi especially za FA na Capital One!

Izzy Brown...not yet there! Muda mwingi alicheza kama winger than Striker. Anyway, alikuwa na dakika chache sana za kumpima. Let's hope last game ataanza.

Tunahitaji kubwa la a qualified right winger. Upande ule umepwaya sana kwa kumtegemea Ivanovic peke yake ambapo inatugharimu kiulinzi. Willian/Cuadrado/... kwa mtazamo wangu bado hawajaweza kuvivaa viatu vya upande huo. Kama tunataka kushinda zaidi ya EPL na Capital cup basi tunahitaji kuangalia upande huo.

Kuna yule dogo anaitwa Grealish, yupo Aston Villa (Wacha1 na arsenal watatueleza vyema kumhusu watakapokutana 30 May - FA Cup Final). Yani yule angekuja Chelsea, Willian na Cuadrado wangekaa benchi milele.

Felipe Luis arudi Atletico Madrid. Maybe tungeweza kumpata Right Back mwingine kumuandaa kum-leave Ivanovic ingekuwa a better option.

Matic! -huhitaji kusema mengi kumuelezea - #solid

Rumors have it kwamba Mou anamtaka Berahino. Nadhani akikubali kuja, Remmy aondoke abaki na Costa wagombee namba. At times anaweza akawachezesha wote for more eefect.

MWISHO: Possession haishindi mechi! Maana jana second half ilikuwa WBA 25% - 75% CHE lakini matokeo ni 3 - 0!

siku hizi kazi za watu zinabana, sipati nafasi ya kuwatembelea wakuu... cheek ni Obi kabisa, sema tofauti ni ndogo sana... Obi anaweza kutembea na mpira atleast..

nadhani ufike muda atoke cuadrado... ila Felipe Luis abaki.. apewe nafasi zaid na zaidi (wakati huo mwanangu azipilicueta acheze #2 , iva awekwe mda mwingne kati mda mwingne pembeni)

Mkuu Mentor uliyosema mengi nakuunga mkono japo haujakatika.

#KTBFFH
 
Last edited by a moderator:
Hatimaye Cesc Fabrigas apunguziwa adhabu ya kukosa mechi 3 kuwa 1,hivyo basi atauanza msimu mpya wa 2015-2016 , nahisi Panel ya Nidhamu ya FA imegundua madhaifu yao ,Hasa Mourinho aliposema CHELSEA FC haitakata rufaa kwani Huko nyuma hakuna rufaa tulioshinda,
 
imeisha..

ndiyo maana hakuna # 1 kweye 'table' badala yake kuna Champions, kasha kuna # 2, # 3, # 4...

wewe timu yako ipo nafasi gani??


League haijaisha bado.

Kama unaamini imeisha basi Pre-season ndio imeanza.

Next season ni maumivu tu na yanaanza kwa pre-season.
 
Kama kuna watu nawaona ovyo huyu wacha0 anaongoza unaponda saana Chelsea wakati timu yako iko coma mwaka wa kumi huu epl title inaisikia kwenye bombs hahahhah "haters gonna hate" @ktbffh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom