Usilale bana!! Ukilala nakufata huko huko,wewe unacheza for leisure wacha watoto wapigane wasishuke daraja........ Unawakumbuka hawa walivyotutesa.... Lol
Stupid Fabrigas!
Mechi 2 msimu ujao hachezi kwa kosa la kijinga kabisa
![]()
Moureen mortified .... ..
Chezea Tony Pulis weye ... .... .. ..Khe khe khe kheeeeeeeeee
Nachikia Refa kaitwa kwenye special room na brown envelopes zimezagaa kama dagaa khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Ding ... Dong.
Huna hoja wewe sisi hii NI pre season tu kombe tumeshaweka ndani.
Malafyale Zidane alimpiga kichwa Marco Materazi na akatolewa nje ktk mechi iliyopelekea France kukosa kombe la dunia...sasa ndio unamshangaa Faby?Stupid Fabrigas!
Mechi 2 msimu ujao hachezi kwa kosa la kijinga kabisa
Wamelewa ubingwa kaka yangu ndo maana wanakosa adabu........
Berahinoooooo
Nachikia Refa kaitwa kwenye special room na brown envelopes zimezagaa kama dagaa khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Ding ... Dong.
Nafahamu hilo ndio maana hamu ya kuangalia hakuna.
Usiku mwema my dear kesho kibaruani.
Wacha nijilalie zangu.