Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tell me guys. Kuna nini behind Mourinho kutopewa Coach of the Month award?

April tumeshinda mechi zote na ku draw moja I guess. Tumemfunga Leicester City in a thrilling four goals game. But in the end yule tuliyemfunga ndo anapewa Coach of the month award.

Mourinho acts like he is not hurt..like he doesnt care but I know deep down he does. Maana alivyoongea leo its most likely hurting him.

Amesema, "...I would like to know the people in the panel because oneday I will meet one and want to hug them."

Wakati anatamka hiyo 'hug them' mikono yake anaonyesha mfano wa kunyonga..strangle!
 
Yote kwa yote '' The Special One becomes History maker''
 
11182110_1050967378264674_5867872862947446564_n.jpg
 
Last edited by a moderator:
Tell me guys. Kuna nini behind Mourinho kutopewa Coach of the Month award?

April tumeshinda mechi zote na ku draw moja I guess. Tumemfunga Leicester City in a thrilling four goals game. But in the end yule tuliyemfunga ndo anapewa Coach of the month award
.......

Viwango vya Mourinho ni vikubwa sana. Keshaweka bar at high level kiasi kwamba hata hiyo panel inayochagua ''Coach of the Month'' haiwezi tena kumshindanisha na watu kama Robert Martinez, Pardew au Pearson. Kwa kifupi, mafanikio ya Mourinho is guaranteed au expected, na hivyo panel hata haishtuki. Bahati nzuri Mourinho mwenyewe anaona poa tu.
 
Nakubaliana na ww mia kwa mia. lkn kwa vile hii ni ligi moja ambako washiriki wote wako sawa, kuna haja ya kulionesha hilo kwenye kila eneo. sio fair kutom award genius pongezi zake eti kwa vile yule kilaza kuliko wote kajitahidi kutoka mkiani. vinginevyo iwepo sub category ya manager of the month na the most promising manager of the month. tusubiri tuone manager bora kwa msimu mzima utashangaa maurinho hayumo wakati kaongoza ligi toka mwanzo mpaka mwisho. hizi ni chuki tu na zile campaign alizozisema mou wakati fulani
 
Wakuu kesho Liverpool yuko darajani lazima apigwe ndio kombe linoge kuchukua wapi wadau Wa Chelsea ktk kuchambua huu mtanange? Ntuzu Manumbu Mentor agosti 8 kalou b5-click kunguru mjanja Grand PA Viol the say mbingunikwetu Na wadau wote. Leteni nondo wakuu. Maana uchambuzi wenu kwa mchezo Wa Man Utd Na Arsenal ulikua babkubwa Na Mourinho akapanga kikosi kama mlivyochambua.

Leteni hoja wakuu.

Mkuu kwa kikosi nilichosikia kutoka kwa mwenyekiti mou, naona kama tutakuwa balance na Liverpool. Mwenyekiti kasema atakuwa na ake,Zuma,luiz,czec,terry,Remy,iva sijajua kama mati,eden,faby,azp,didie ambao ni level za juu kwa liva kama watakuwepo lkn liva ni kuvuruga mipango ya cotino yaan ni kumdisturb asiweze kupiga pass zake then sijajua kikosi cha BR ngoja nikakipitie afu ntarud.

All in all Special ananiacha na mshangao unawezaje kukaribia kucheza na liva afu unawapa wachezaji wako mapumziko au liva kwa muo ni timu ya kawaida sana.
 
ze season iz ova mkuu wacha wapewe nafac wengne!
 
yani i cant wait kuliona hilo gwaride hata Malafyale anajua hilo! macho yangu yatakuwa kwa Steve Gerald na Brendan Rodgers. SG kwa gere kuwa hajawahi kushinda EPL na alikataa kuja Chelsea ambako for sure angeshinda makombe kibao including EPL! Kwa BR kwa vile hajawahi kumfunga mwalimu wake (kitu ambacho ni aibu. Mwnafunzi aliyefunzika vizuri akafaulu kwa uhakika, ni lazima amfunge/amshinde mwalimu wake) BR alishindwa kumfunga Maurinho mwaka jana kitu ambacho kiliikosesha ubingwa Liverpool. ningependa kutazama demeanour, hasira namaumivu ya hawa jamaa as they piga rikwata la kukiri kuwa Chelsea na Maurinho wake ni mabingwa!!!! Dear God, pls bring Sunday tomorrow!!!

Ni guard of honour kisha wanapita katikati huku wakipigiwa makofi wakati wakiingia uwanjani pale kwenye corridor.
Sidhani kama hilo ni gwaride!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom