Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ninachofurahi Mkuu hizi game mbili tulikua tunajua Mourinho atafanya Jana Mourinho kaingia Emirates kucheza mpira lkn umakini Wa kutokufungwa bado ulikua ni mkubwa sn.

Watoto wamecheza mpira safi sn Jana. Hakuna basi lolote km watu wanavyotuponda kwamba mbinu yetu ni kupaki basi.

Yani kamanda uko sahihi... kuna dogo langu liliniambia eti blaza mmepaki basi.. nikamuambia umecheki gemu.. ndio.. compare na gemu ya Man u.. ooh mara akabidili mada.

ni kweli jana hata mm nilikua na hali ngumu kidogo.. lakini nilijua mambo hayataenda kombo.

#KTBFFH
 
Hapo ndio utamkubali Mourinho. Jamaa anajua. Anapanga timu na mbinu kulingana na timu anayokutana nayo....

Kwa kifupi Arsenal walikua wepesi sn ndio maana tumeenda Emirates kwa Uhuru
 
Ntuzu Viol Mentor nilisema mkiwafunga arsenal nipewe ban ya mwezi mzima! Niliona uwezo wa kumfunga arsenal mechi hii hamna. Anyway jana ilikuwa siku mbaya sana kwangu,kwaherini!

Msimu uliopita tulikosa kombe kwa Chelsea kufungwa na vitimu vidogo au kupata sare kwa timu ndogo ilipelekea tukakosa ubingwa....

Msimu huu Jose Mourinho alikua ameshajifunza vzr timu ndogo na kubwa zote alikabiliana nazo vzr sn ndio maana tunaona imekua rahisi kwa Chelsea.

Sasa shida ya Man U ni km iliyokua yetu msimu uliopita lkn ktk hili kocha hana makosa ila wachezaji ndio wanashida kwasababu wanaweka zarau ktk timu ndogo na ule moyo Wa kupambana unakua mdogo kwasababu wanajua ni timu ndogo na watazifunga kumbe mambo sivyo km wanavofikiria.

Na upande mwingine ata kocha naye anaweza kulaumiwa kwasababu approaching Yake anapokutana na timu kubwa hua ni tofauti kabisa ata morali ya wachezaji hua iko juu sn lkn kwa vitimu vidogo majanga.....

Ukiangalia LvG kavuruga sn ktk vitimu vidogo kuliko timu kubwa...na pia atakua amejifunza kitu msimu huu km sisi tulivojifunza msimu uliopita.

Pole sn Mkuu ndio mambo ya mpira yalivo.
 
Last edited by a moderator:
Waliowahi kusema Jose Mourinho hajawahi kumsifia refa yoyote - haya sasa!!

"It's a positive result ... a fair result, if you forget the penalties. And I want to forget the penalties because I think the referee [Michael Oliver] had a very good performance."
 
Hahahaaaaa.....mnatuandama
64%
Possession 64% lakini shots on goal wanazo 2 wakati Everton wanazo 4. Yaani waliokaa na mpira kwa muda kidogo waliufanyia kazi ya maana wakapiga mashuti manne langoni na matatu kati ya hayo yakaanza magoli matatu! Man u waliokaa na Mpira kwa muda mrefu hawakuwa wanafahamu waufanyie kazi gani. Wamepiga mashuti mawili tu golini na yote yakaambulia patupu!
 
Mkuu, kila mechi ina malengo yake. kwa mechi ya jana malengo na ndivyo ilivyokuwa uwanjani yalikuwa kama ifuatavyo:

a. Arsenal walicheza ili kushinda mechi

b. Sisi Chelsea tulicheza ili kuchukua/kushinda Premier League (Kikombe)

Haya ni malengo tofauti kabisana mkakati wake kiuchezaji ni tofauti kabisa. ili tuchukue ubingwa ilikuwa ni lazima pengo libaki kuwa point 10 au liongezeke lakini lisipungue kuwa point 7. Nadhani unanielewa nikisemacho. na ndio maana lengo lilipotimia akina Jonh Terry walishangilia utadhani tumepata goli dkk za majeruhi! walishangilia kwa sbb ndogo tu, kuwa plan imefanya kazi na lengo limetimia kama ilivyopangwa! tungepata goli (na ushindi) ingekuwa ni bonus na kwa kweli tulikaribia kupata goli (kumbuka zile penati 3 na ile nafasi aliyopoteza Ramires). tuko vizuri Mkuu furahia timu yako

Kwa huu mpira wetu huu, leo bahati tu ndo haikuwa kwa wapinzani wetu Arsenal. Chelsea inashinda kombe ila huu mpira ni aibu, tujaribu hata kushambulia.
 
by uyui kwetu;
Chelsea 77+12=89 tukishinda zote arsenal 67+12=79 kama wakishinda zote

Chelsea tuna mechi 5 Mkononi while others like Arsenal & co have 4!

so uyui kwetu revise your calculation!

Leceister city
Crystal palace
Westbrom albion
Liverpool
Sunderland.
 
Last edited by a moderator:
A very brave journalist has just suggested to Jose that Chelsea are boring.

Remarkably Mourinho took it calmly, shrugged his shoulders in that trademark slightly disinterested fashion of his, and replied: "I am not sure of that. I met an Arsenal fan this morning who lives next door to me and he congratulates me and said I was spot on in my press conference.

"If we are boring and if the number of goals is what decides who is good, bad or boring, then we have in the Premier League 18 teams who are more boring than us.

"Only Man City is a team with more quality than us on this criteria. I don't accept that criteria.

"If the best team is the one with less defeats we are the best. If the best team is the team that leads, we are the best team."
Mourinho was asked whether there should have been even more than six Chelsea players in the PFA team of the season. "Yes" he answered with no hint of a smile. "It should have been all of them."

Mourinho criticised the selection for featuring too many attacking players and was particularly vexed by the absence of Cesc Fabregas.

"If you look at that team and for example, Cesc Fabregas and the number of assists he has this season, it is strange that he is not included," he said.

Another hack asks Mourinho about John Terry, wondering if the Chelsea boss thinks his skipper is the best centre back of all time.

"I don't like to compare generations," says Jose. "It is something in football that is unfair.

"In this generation I think he is the best centre-back. So many caps, so many battles, so many amazing number of matches, and a good goalscorer considering his position. "

Eden Hazard award, Jose Mourinho jibe, world snooker latest - BBC Sport
 
Baada ya zomea - zomea ya jana ya wapenzi wa Arsenal kwa Chelsea - Jose Mourinho kawapa za uso: soma hapa:

"You know, I think boring is 10 years without a title. That's very boring,"

"You support the club and you're waiting, waiting, waiting for so many years without a Premier League title, so that's very boring.

"But maybe they were not singing to us. Maybe, when you want to win a game and you're at home and you take your number nine (Olivier Giroud) off, maybe the home fans want more.

"Maybe they want to play Giroud and (Danny) Welbeck together up front to try to win the game."
 
Player of the Year Eden Hazard can be 'best in world' - Shearer

Team honours come first and wrapping up the league title with Chelsea will still be what matters most to Eden Hazard this season.

But being voted PFA Player of the Year will mean a lot to him too. He has been the Premier League's outstanding player over the whole campaign, and he deserves the individual recognition.

That is how I felt in 1995 when I won the title with Blackburn Rovers and was also Player of the Year for the first time.

I felt the award reflected my performances and contribution towards my team's success that season, and it is the same with Hazard. I don't think anyone can argue that he is not a worthy winner.

The bad news for Chelsea's rivals is that at 24, Hazard is only going to get better.

In three or four years, I think we could be talking about the Belgian being the best player in the world - he has the potential to be that good.

'Hazard has been brilliant from start to finish'

When we are talking about who the best players in the Premier League have been this season then Hazard's Chelsea team-mate John Terry should have been on the PFA shortlist. It is ridiculous that he wasn't.

But, of the players who were, Blues striker Diego Costa was brilliant for the first half of the season but has not sustained that form.

It was the same for Arsenal forward Alexis Sanchez, while Tottenham striker Harry Kane did it the other way round - he did not get his first Premier League goal until November then did not stop scoring for months.

Terry and Kane would both make my top three for 2014-15, but Hazard was a clear winner for me. He has performed brilliantly throughout the entire campaign.

Pls read more on this nice article by Alan Shearer at

BBC Sport - Player of the Year Eden Hazard can be 'best in world' - Shearer
 
nimeamini hardwork pays. mwaka huu kila kitu kinaenda Chelsea's way. EPL ni Chelsea. VIjana under 21 UEFA ni Chelsea. Under 18 pia ni Chelsea. Sasa na mademu nao ni Chelsea...!! Haters mbona mtapasuka? Kila kitu kila idara, kila gender ni Chelsea tu?

Birmingham City Ladies 0-1 Chelsea Ladies

By Tom Garry at Solihull Moors

BBC Sport Leaders Chelsea secured their fourth win from four Women's Super League games with a comfortable victory over Birmingham City at Solihull Moors.

Chelsea captain Katie Chapman scored the game's only goal, lobbing a crowd of players after Birmingham failed to clear a first-half Ji So-Yun corner.

After the break, Gilly Flaherty hit the post for the visitors.

The result leaves Birmingham in seventh place, still searching for a first league win in 2015.

BBC Sport - Birmingham City Ladies 0-1 Chelsea Ladies
 
As It Stood Table
Last updated 26 Apr 2015 UK

The FA Women's Super League summary table; it charts each team by position, team name, games played, total goal difference and points Position Team Played Goal Difference Points
No movement 1 Chelsea Ladies 4 7 12
No movement 2 Arsenal Ladies 4 6 10
Moving up 3 Liverpool Ladies 4 0 6
Moving down 4 Sunderland Ladies 4 -2 6
Moving down 5 Notts County Ladies 4 2 5
Moving down 6 Manchester City Women 4 -1 4
No movement 7 Birmingham City Ladies 4 -2 2

No movement 8 Bristol Academy Women 4 -10 0
 
Attachments

  • untitled.png
    untitled.png
    115.2 KB · Views: 61
Niliisikia hii comment ya Maurinho nilichekaje. lkn it was very true. nilitegemea Wenger angemweka Welbeck na Giroud na kumtoa Ozil na kumweka Walcot ili hawa watatu walazimishe goli. lkn kumtoa Giroud na kumwingiza Walcot was very counter productive. Walau Giroud alikuwa anaruka na kulazimisha Terry, Cahill na Matic kuwa on guard kwa urefu wake. kumtoa na kumtegemea Welbeck ilikuwa counter productive. That was really boring from Wenger....

Baada ya zomea - zomea ya jana ya wapenzi wa Arsenal kwa Chelsea - Jose Mourinho kawapa za uso: soma hapa:

"You know, I think boring is 10 years without a title. That's very boring,"

"You support the club and you're waiting, waiting, waiting for so many years without a Premier League title, so that's very boring.

"But maybe they were not singing to us. Maybe, when you want to win a game and you're at home and you take your number nine (Olivier Giroud) off, maybe the home fans want more.

"Maybe they want to play Giroud and (Danny) Welbeck together up front to try to win the game."
 
Kama kuna mchezaji pale Arsenal anajiona anajua mpira wakati hana chochote ni Aaron Ramsey. Huyu jamaa ni Uingereza wake tu (Welsh) vinginevyo hana chochote. Bora walau sio mimi tu mwenye hizi views. hata baadhi ya waingereza wenzake hawamkopeshi:

TV presenter, journalist and Arsenal fan Piers Morgan claimed on Twitter that Aaron Ramsey refused to shake his hand after Morgan previously called the Gunners midfielder an "utter liability". Morgan continuously referred to Ramsey as 'whatshisname' in a series of tweets.

BBC Sport - Football gossip: Hernandez, Depay, Imbula, Hazard, Kane
 
Dependable. Unfailing. Brilliant: Eden Hazard

There are but a few certainties Chelsea manager Jose Mourinho can count on in his life. The sun will rise when he wakes. He and Arsene Wenger will, at some point, exchange verbal blows. And through everything, Hazard will be there.

Always there. Always influential. Always dazzling. Consistently.

As Michael Cox points out, it's becoming something of a habit for the 24-year-old to be in this position:

In his four full Ligue 1 seasons, twice he won the Young Player of the Year award, and the other two seasons he won the overall award. In the final three seasons, he was in Ligue 1's team of the year.

Since moving to Chelsea, he won the Young Player of the Year award last year, was nominated for the overall award in both campaigns, as well as being in the PFA Team of the Year. Therefore, by the end of this campaign, it should be six seasons in a row in the Team of the Year, and six out of seven collecting an individual award.

He's started every Premier League match this season, playing the full 90 minutes on all but four occassions. He's rarely substituted. He's never dropped. He's never injured. The latter, despite being the most fouled player in the league by quite some margin - his 96 fouls suffered are 17 more than his nearest rival, Raheem Sterling.

That strength and durability, aided by the fact that his relatively small frame is powered by two pistons for legs, is mightily impressive. As are his numbers.

Almost every other player in the EPL has come under some criticism for an extended run of poor form at some point. Hazard? Not quite. His longest spell of the season without a goal or an assists runs just two matches.

Consistency.

theScore
 
Attachments

  • untitled 1.png
    untitled 1.png
    100.7 KB · Views: 75

Edin Hazard yuko vizuri....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom